Kama Katiba ingeondoa ukomo wa Urais, ingekuwaje kwa awamu hii mpya ya Rais Samia?

Kulikuwa na mipango na kelele nyingi ya kutaka kuondoa mihula ya Urais wakati wa hayati Magufuli. Ni wazo zuri kwani mambo ya mihula ni bora zaidi kwa nchi za magharibi ambazo zimeendelea.

Ktk nchi zetu tumuonapo kiongozi adhimu na wa tofauti hatuna budi kumuongezea muda wake wa kuongoza ili aifanyie mengi Taifa.

Sasa najiuliza hivi tungeshaharakisha mswada Kama huo na kuwa sheria, mara vaaapp Magufuli kafariki. Ingekuwaje kwa awamu hii mpya ya Rais Samia?

Corona mwana kharam wallahi. Hata kwa magogo ya nchi na sisi kina yakhe ni suala la muda tu.
 
Kulikuwa na mipango na kelele nyingi ya kutaka kuondoa mihula ya Urais wakati wa hayati Magufuli. Ni wazo zuri kwani mambo ya mihula ni bora zaidi kwa nchi za magharibi ambazo zimeendelea.

Ktk nchi zetu tumuonapo kiongozi adhimu na wa tofauti hatuna budi kumuongezea muda wake wa kuongoza ili aifanyie mengi Taifa.

Sasa najiuliza hivi tungeshaharakisha mswada Kama huo na kuwa sheria, mara vaaapp Magufuli kafariki. Ingekuwaje kwa awamu hii mpya ya Rais Samia?
Ni kutawala milele tu 😂😂
 
Msicho kijua hata ukiongezewa muda lazima baada ya miaka mitano uende kwenye sanduku la kura. Na aliye chokwa kura za maruhani haziwezi kumtosha.
Kura za maruhani zilimpitisha mwendazake navakaapishwa fasta fasta.
 
Back
Top Bottom