Sawa mkuu, ngojea tusubirie misukule ya mwendazake ije kupolomosha matusiNaunga mkono hoja...
Hiiii,bagoshaHoja dhaifu sana hizi siku hizi hapa JF tuna upungufu wa "madini" tatizo nini jamani.
Ndio mkuu, au ndugai anasemaje uko;!!!Mwataka atawale milele sio? 😂 😂 😂 😂 😂
Mmeshindikana ka ni hivyo! 🤣Ndio mkuu, au ndugai anasemaje uko;!!!
Polepole kachukua wale wapiga kura wa shule za kata kawajaza jamiiforum.Hoja dhaifu sana hizi siku hizi hapa JF tuna upungufu wa "madini" tatizo nini jamani.
Ukiona hivyo ujue umri wako unasogea na vijana wengi wanazidi kukua na kupata akili. Inakuwa rahisi kuziona hoja nyingi nyepesi lakini wao kwa wao wakiwa pamoja wanaambiana aisee umeandika uzi muhimu sana.Hoja dhaifu sana hizi siku hizi hapa JF tuna upungufu wa "madini" tatizo nini jamani.
wakiufuta namwambia mama awape uhujumu uchumi 😆(economic case),,,,,Unafutwa CC Moderator
dunia imemkubari mama, sisi nani hadi tusimuache atawale milele!!!?TASK FORCE ya MATAGA imeanza kazi ya kumremba Samia kabla hata Magufuli hajaoza vizuri!
Hana ubavu [emoji3526]wakiufuta namwambia mama awape uhujumu uchumi [emoji38](economic case),,,,,
yes chief, maana tusipoteze hii bahati, tusije tena tukaja ongozwa na mashetaniHahahaha tuwe kama kwa bibi UK, safi sana hii..