TASK FORCE
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 2,446
- 3,461
Hujui ww, na hutojua kamweHana ubavu [emoji3526]
Hujui ww, na hutojua kamweHana ubavu [emoji3526]
umeona mkuu,, atake asitakena hata akisema imetosha tumuongezee kwa lazima miaka 10 amalizie miradi yake.......
Hapo ndio wangejua hasara ya kufikiria mwisho wa pua zaoKulikuwa na mipango na kelele nyingi ya kutaka kuondoa mihula ya Urais wakati wa hayati Magufuli. Ni wazo zuri kwani mambo ya mihula ni bora zaidi kwa nchi za magharibi ambazo zimeendelea.
Ktk nchi zetu tumuonapo kiongozi adhimu na wa tofauti hatuna budi kumuongezea muda wake wa kuongoza ili aifanyie mengi Taifa.
Sasa najiuliza hivi tungeshaharakisha mswada Kama huo na kuwa sheria, mara vaaapp Magufuli kafariki. Ingekuwaje kwa awamu hii mpya ya Rais Samia?
Ukimtawala milele mke wako inatosha!dunia imemkubari mama, sisi nani hadi tusimuache atawale milele!!!?
Naww kim"a tunataka tukutawale milele hadi akili zikukae sawaUkimtawala milele mke wako inatosha!
Naww kim"a tunataka tukutawale milele hadi akili zikukae sawa
Lazima tuwatie mimba za migongoni safari hii,,ngojea mama achukue uenyekiti wa chama Kwanza, mtaenda kujichimbia alipozikwa Mungu wenu
Alaa kumbeUkiona hivyo ujue umri wako unasogea na vijana wengi wanazidi kukua na kupata akili. Inakuwa rahisi kuziona hoja nyingi nyepesi lakini wao kwa wao wakiwa pamoja wanaambiana aisee umeandika uzi muhimu sana.
🖕🖕🖕Lazima tuwatie mimba za migongoni safari hii,,ngojea mama achukue uenyekiti wa chama Kwanza, mtaenda kujichimbia alipozikwa Mungu wenu
Tutawanyosha aswaaaa, mmewatesa sana watu washamba nyie
Si utaonaHujui ww, na hutojua kamwe
utaona ww,me tayari naona hapaSi utaona
Sawa mkuuutaona ww,me tayari naona hapa
Unamaanisha NYAPALA...Samia ndo anayefaa kulazimishwa sasa, siyo yule mjenzi wa jiji la chato...
Zuzu wwSawa mkuu
Kulikuwa na mipango na kelele nyingi ya kutaka kuondoa mihula ya Urais wakati wa hayati Magufuli. Ni wazo zuri kwani mambo ya mihula ni bora zaidi kwa nchi za magharibi ambazo zimeendelea.
Ktk nchi zetu tumuonapo kiongozi adhimu na wa tofauti hatuna budi kumuongezea muda wake wa kuongoza ili aifanyie mengi Taifa.
Sasa najiuliza hivi tungeshaharakisha mswada Kama huo na kuwa sheria, mara vaaapp Magufuli kafariki. Ingekuwaje kwa awamu hii mpya ya Rais Samia?
Umepata mhaho..Zuzu ww
Wewe jiulize tu kama hao akina Juma Nkamia, Ally Kessy, Deo Sanga, Josefu Kasheku Msukuma, na wanafiki wenzao wengine kama wana ujasiri tena wa kusimama hadharani kulilia mhula wa Urais kuongezwa!