Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
Kwani hivi ilivyo ya Mwaka 1977 wanasagaje meno?Sijui katiba ingesemaje kama rais atafia madarakani, ila kama ingebaki kama hivi ilivyo kuna watu wangelia na kusaga meno.
Waendelee tu kusimama, Magufuli hakuyafanya hayo maendeleo mwenyewe bali Mama Samia pembeni alichagiza.Wewe jiulize tu kama hao akina Juma Nkamia, Ally Kessy, Deo Sanga, Josefu Kasheku Msukuma, na wanafiki wenzao wengine kama wana ujasiri tena wa kusimama hadharani kulilia mhula wa Urais kuongezwa!
Wamwogopaye kafaWatu wajinga ndio uwekeza kwa watu badala ya kuwekeza kwenye mifumo.
Watu ni wanafiki sana ! Jana katika mazishi ya JPM akina Bashe, Jafo walivaa barakoa!!!!
Hivi unadhani Kuna Rais Africa hii anaipenda mifumo? Mifumo inabana na kuwafanya vibogoyo.Watu wajinga ndio uwekeza kwa watu badala ya kuwekeza kwenye mifumo.
Watu ni wanafiki sana ! Jana katika mazishi ya JPM akina Bashe, Jafo walivaa barakoa!!!!
Embu nifundisheSiasa kumbe huzijui...
Ingekula kwa mataga.Kulikuwa na mipango na kelele nyingi ya kutaka kuondoa mihula ya Urais wakati wa hayati Magufuli. Ni wazo zuri kwani mambo ya mihula ni bora zaidi kwa nchi za magharibi ambazo zimeendelea.
Ktk nchi zetu tumuonapo kiongozi adhimu na wa tofauti hatuna budi kumuongezea muda wake wa kuongoza ili aifanyie mengi Taifa.
Sasa najiuliza hivi tungeshaharakisha mswada Kama huo na kuwa sheria, mara vaaapp Magufuli kafariki. Ingekuwaje kwa awamu hii mpya ya Rais Samia?
Wangebadilisha katiba, Mama Samia Suluhu angeitumia turufu hiyo vizuri sanaIngekula kwa mataga.
Ndio wajue kuwa waache upumbavu. BInadamu sio wa wa kumtegemea
Hatuwezi kusema awe Rais wa maisha ilihali hata mwezi hana Ikulu. Ngoja tuone mwelekeo wake Kwanza.Samia ndiye awe rais wa maisha yake, bwana yule alikuwa na kiburi sana na genge lake