Kama Katiba ingeondoa ukomo wa Urais, ingekuwaje kwa awamu hii mpya ya Rais Samia?

Hoja dhaifu sana hizi siku hizi hapa JF tuna upungufu wa "madini" tatizo nini jamani.
Ukiona hivyo ujue umri wako unasogea na vijana wengi wanazidi kukua na kupata akili. Inakuwa rahisi kuziona hoja nyingi nyepesi lakini wao kwa wao wakiwa pamoja wanaambiana aisee umeandika uzi muhimu sana.
 
na hata akisema imetosha tumuongezee kwa lazima miaka 10 amalizie miradi yake.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…