Kama kifo ni mipango ya Mungu, mbona imani yenu wa Iran inaonekana kukataa kuhusu kifo cha Raisi?

Kama kifo ni mipango ya Mungu, mbona imani yenu wa Iran inaonekana kukataa kuhusu kifo cha Raisi?

Hawataki akajipumzishe pembeni ya vijito vinavyotiririsha mvinyo na maziwa huku anatumbuizwa na Marquiz Jazz Band na wimbo wao wa "Sendemaa"?
 
Nimeshangaa sana jaziba za wairan wakiona kama kifo kimepangwa na wabaya wao au kosa lilofanyika ni kama mungu kakosea.

Sasa imani ina maana gani kama kifo mtaki kuamini kipo.
Wamekipanga wwnyewe,yaani ndege anayotumia Rais ilitengenezwa mwaka 1978 na ni US .......
 
Back
Top Bottom