Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 May 21, 2024 #1 Nimeshangaa sana jaziba za wairan wakiona kama kifo kimepangwa na wabaya wao au kosa lilofanyika ni kama mungu kakosea. Sasa imani ina maana gani kama kifo mtaki kuamini kipo.
Nimeshangaa sana jaziba za wairan wakiona kama kifo kimepangwa na wabaya wao au kosa lilofanyika ni kama mungu kakosea. Sasa imani ina maana gani kama kifo mtaki kuamini kipo.
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 May 21, 2024 #2 Apumzike Kwa Amani Kamanda Imeshatokea
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 4,766 Reaction score 16,191 May 21, 2024 #3 Kifo cha rais wao kimekuja wakati ambao unatia shaka sana.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 May 21, 2024 #4 Hawataki akajipumzishe pembeni ya vijito vinavyotiririsha mvinyo na maziwa huku anatumbuizwa na Marquiz Jazz Band na wimbo wao wa "Sendemaa"?
Hawataki akajipumzishe pembeni ya vijito vinavyotiririsha mvinyo na maziwa huku anatumbuizwa na Marquiz Jazz Band na wimbo wao wa "Sendemaa"?
CriSanToS JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 1,233 Reaction score 3,575 May 21, 2024 #5 Umeuliza as if sisi ndiyo wairan wenyewe ππ€π
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 May 21, 2024 #6 Kaka yake shetani said: Nimeshangaa sana jaziba za wairan wakiona kama kifo kimepangwa na wabaya wao au kosa lilofanyika ni kama mungu kakosea. Sasa imani ina maana gani kama kifo mtaki kuamini kipo. Click to expand... Wamekipanga wwnyewe,yaani ndege anayotumia Rais ilitengenezwa mwaka 1978 na ni US .......
Kaka yake shetani said: Nimeshangaa sana jaziba za wairan wakiona kama kifo kimepangwa na wabaya wao au kosa lilofanyika ni kama mungu kakosea. Sasa imani ina maana gani kama kifo mtaki kuamini kipo. Click to expand... Wamekipanga wwnyewe,yaani ndege anayotumia Rais ilitengenezwa mwaka 1978 na ni US .......