nimekuliza swali unauliza swali .....jibu swaliKwanza unaelewa hayo maneno ya huo mstari yamemnukuu nani?
Hayo maneno yaliyosema kkwa maana sasa ninajua" unaweza kuniambia ni nani ambaye alikua akiyasema?
Naenda kukujibu swali lako ila naomba ufafanuzi tuelewane hapo maana isije ikawa tunazungumzia jambo ambalo kila mmoja kalielewa tofautinimekuliza swali unauliza swali .....jibu swali
hayo ni maneno ya Mungu ....Naenda kukujibu swali lako ila naomba ufafanuzi tuelewane hapo maana isije ikawa tunazungumzia jambo ambalo kila mmoja kalielewa tofauti
Nataka uniambie hayo maneno yalisemwa na nani?
Umeona sasa faida ya kuuliza swali kwenye swali kabla ya kukurupuka kulijibu?hayo ni maneno ya Mungu ....
hilo andiko linaonyesha sio kila kitu Mungu anataka kujua kuhusu maisha yajayo ya mtu bali anataka kila mtu atumie uhuru wake bila kuingiliwa yapo maandiko mengi tu yanakazia wazo hilo ukihitaji nitakupa
hii inafunua pia wewe sio msomaji wa bibliaUmeona sasa faida ya kuuliza swali kwenye swali kabla ya kukurupuka kulijibu?
Hayo ni maneno ya malaika sio maneno ya mungu na hata ukisoma verse ya 15 inakupa msisitizo kwamba malaika alimuita kwa mara ya pili abraham anapo mkabidhi kondoo.
Unakubaliana na mimi kwamba hayo sio maneno ya Mungu bali ni ya malaika?
full verse hii hapa
mwanzo 22:10 Abrahamu akaunyosha mkono wake, akatwaa kisu tayari kumchinja mwanawe.
11Lakini malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwita kutoka mbinguni, “Abrahamu! Abrahamu!” Naye akaitika, “Naam, nasikiliza!” 12Malaika akamwambia, “Usimdhuru mtoto wala usimfanye lolote! Sasa ninajua kwamba unamcha Mungu, kwani hukuninyima hata mwanao wa pekee
unakubali kwamba ulikua unapotosha kusema kusema hayo ni maneno ya Mungu?y
Bado huja qualify kunifundisha kusoma bibliahii inafunua pia wewe sio msomaji wa biblia
kwa akili yako Abraham alikuwa anamtolea Isaka sadaka kwa malaika?
mara zote Mungu alikuwa anaongea kupitia malaika!
kakimbiaBado huja qualify kunifundisha kusoma biblia
swala la Mungu kumuagiza abraham ni swala lingine linalojitegemea binafsi kwahiyo swala la hizo nukuu za malaika kuzihusisha na mungu kwakua mungu alimpa maagizo abraham huo ni UZUSHI
wewe umepotosha kua hizo nukuu ni za mungu wakati biblia imeweka wazi kua hayo ni maneno ya malaika. Hata ukisoma sura nzima utaona mara ya mwisho abraham kuwasiliana na mungu ni mwanzo 22:1-2 baada ya hapo conversation iliyofata ilikua ni abraham na malaika mungu hajahusika tena
i know you know i'm telling the truth but you just can't admit it
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeshinda nini?
Hivi kwanini huamini uwepo wa Mungu?Bado huja qualify kunifundisha kusoma biblia
swala la Mungu kumuagiza abraham ni swala lingine linalojitegemea binafsi kwahiyo swala la hizo nukuu za malaika kuzihusisha na mungu kwakua mungu alimpa maagizo abraham huo ni UZUSHI
wewe umepotosha kua hizo nukuu ni za mungu wakati biblia imeweka wazi kua hayo ni maneno ya malaika. Hata ukisoma sura nzima utaona mara ya mwisho abraham kuwasiliana na mungu ni mwanzo 22:1-2 baada ya hapo conversation iliyofata ilikua ni abraham na malaika mungu hajahusika tena
i know you know i'm telling the truth but you just can't admit it
kwanini ni amini?Hivi kwanini huamini uwepo wa Mungu?
Nijibu kwanzakwanini ni amini?
Zama za kuamini amini hovyo zishapita yaani tuko 2021 umekosa fact kabisa bado unataka kumshawishi mtu kwa kuamini?Nijibu kwanza
Wapi nimekushawishi uamini?Zama za kuamini amini hovyo zishapita yaani tuko 2021 umekosa fact kabisa bado unataka kumshawishi mtu kwa kuamini?
Mungu angekuwepo 100% for sure kwanza kusingekua na imani ya uwepo wake
mdau mmoja hapo juu ameelezea maana ya imani na nimemuelewa kwa msimamo wake kwamba mambo ya imani hayahitaji critical thinking ni kutokana yamekosa nguzo muhimu UTHIBITISHO
Sasa jambo ambalo halina uthibitisho unaanzaje kuona ajabu mtu kutokubaliana nalo?
Au wewe una uthibitisho wa kuonesha Mungu yupo?
I bet hauna uthibitisho na ndio maana swali lako ulikua unaniuliza kwa misingi ya kiimani kwanini siamini Mungu yupo
hapo nimefanya kurahisisha nimejibu maswali ambayo pengine ungekuja kuyauliza mbeleni au yalikua kichwani kwako ilikua bado tu kuniuliza kwasababu swali lako ni kama vile umekua surprised na mimi nimeamua kujibu kwa mapana zaidiWapi nimekushawishi uamini?
Mimi nimekuuliza tu swali nikiwa na lengo la kujua sababu.
Wapi nimekushangaa?hapo nimefanya kurahisisha nimejibu maswali ambayo pengine ungekuja kuyauliza mbeleni au yalikua kichwani kwako ilikua bado tu kuniuliza kwasababu swali lako ni kama vile umekua surprised na mimi nimeamua kujibu kwa mapana zaidi
Na ndio maana nimekuuliza unaanzaje kumshangaa mtu ambaye hakubaliani na jambo fulani wakati jambo hilo unaelewa wazi kabisa kua limekosa uthibitisho?
halafu imani za uwepo mungu zipo nyingi kuna Miungu 5,000 na imani zote zinatofautiana na kupingana, na mimi zote hizo hakuna nayokubaliana nayo, sasa kwa wewe unayeamini niambie kwanini katika list hiyo umchague 1 na kuwaacha hao 4,999?
kwanini huyo mmoja uone ndio wa kweli na hao 4,999 waliobakia kutoka imani ya dini zingine uone sio wa kweli?
Tatizo hujikiti kusoma maelezo kiumakini umejikita kuangalia makosa ambayo nayo kimsingi hayapoWapi nimekushangaa?
Mimi nimeuliza swali dogo tu!nilitamani kusikia sababu zako za kutoamini..wewe kwanini unaenda mbali?
Mimi nataka tu nijue hizo sababuTatizo hujikiti kusoma maelezo kiumakini umejikita kuangalia makosa ambayo nayo kimsingi hayapo
Huwezi kuuliza swali bila kua na target, whats your target kwenye swali lako la kujua kwanini siamini mungu? Maana Nimekujibu kwa swali kwamba kuna umuhimu gani wa mimi kuamini hivyo?
Kwa lengo la kukupa uwanja uwe more specific kufanya mjadala uwe deep ulitakiwa uniambie target yako ninini ili kunifanya nitoe sababu zangu zenye kui challenge hiyo target yako
Sasa wewe umejiweka katika upande ambao hutaki challenge, hutaki kuambiwa utoe extra info kwenye swali lako, unataka tu ujibiwe
Sasa hujafanya hivyo, muulizaji hutoi ushirikiano unataka upewe direct answer katika hoja ambayo inahitaji mchanganuo
Jina lake nani Mungu wako?View attachment 1695994
Mnaounga mkono huyo askofu kwanini mnamwabudu huyo mungu?
Mungu wangu mimi ni tofauti na huyo, Mungu wangu ni mwingi wa upendo, Rehema na asie na hasira mdio maana hahusiki na vifo
Sawa ngoja tuanze mjadala vizuri ili nikupe majibu stahiki kulingana na unavyoulizaMimi nataka tu nijue hizo sababu