Kama kijana mpambanaji, hakikisha hukosi vitu hivi

Kama kijana mpambanaji, hakikisha hukosi vitu hivi

IMG_6128.jpg
 
Huu ubongo wako umeoza mgawariziki kaingiaje apo jaribu kupambania hatima yako acha upuuzi
Hatima ya maisha yangu iko mikononi mwa Mungu.

Na sina uwezo wa kuipambania.

Nasema hivi kwasababu.... Jana tumemzika Ndugu yetu ambae alikua anapambania Hatima ya maisha yake (sisi pia tukaongeza nguvu ya kumpambania)....pesa nyingi sana zimetumika kuuokoa uhai wake...lakini Mungu akasema no! Akamchukua.

Unaweza kwenda kwenye usaili ukakutana na vichwa,...na ukawa hauna hata vigezo...lakini ukashangaa umepita kirahisi sana. MUNGU NI FINAL SAY KATIKA MAISHA YETU, MENGINE MBWEMBWE TU


Note: kila mtu anataka na anapenda kuwa na maisha mazuri. Tuwe makini sana katika upambanaji wetu.

USITUMIE nguvu katika upambanaji wako, tumia AKILI.
 
1. Namba ya NIDA.
2. Leseni ya udereva.
3. TIN number.
4. Bank Account.
5. Passport.
6. Computer skill ( hata kidogo)
7. Mengine ni mengineyo.
Wapo watu wana vitambulisho vya nida kabisa sio namba
Wapo watu wanaleseni zinaqualification na certificate kutoka VETA, NIT na PVS
Wapo wenye TIN number nzuri tu
Wapo watu wana computer skill wanajua graphic design coding nk
Watu wana account zaidi ya moja crdb NMB DTB maendeleo bank nk

Ila hawana ajira kwa sababu wanategemea ajira.
Ila kama huna ajira unataka kujiajiri hizo sio zana ni mabomu ya kukurudisha nyuma.

Zana ni
Mawasiliano
Maarifa sahihi
Competence
Self employment.

Wewe unawaza kuajiliwa kama afisa takwimu unataka kumhesabu nani bwege nini!
 
Back
Top Bottom