Hatima ya maisha yangu iko mikononi mwa Mungu.
Na sina uwezo wa kuipambania.
Nasema hivi kwasababu.... Jana tumemzika Ndugu yetu ambae alikua anapambania Hatima ya maisha yake (sisi pia tukaongeza nguvu ya kumpambania)....pesa nyingi sana zimetumika kuuokoa uhai wake...lakini Mungu akasema no! Akamchukua.
Unaweza kwenda kwenye usaili ukakutana na vichwa,...na ukawa hauna hata vigezo...lakini ukashangaa umepita kirahisi sana. MUNGU NI FINAL SAY KATIKA MAISHA YETU, MENGINE MBWEMBWE TU
Note: kila mtu anataka na anapenda kuwa na maisha mazuri. Tuwe makini sana katika upambanaji wetu.
USITUMIE nguvu katika upambanaji wako, tumia AKILI.