MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kwanini?Vyote nakubali, ila hapo Passport nakataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini?Vyote nakubali, ila hapo Passport nakataa
Usiwapotoshe aise wacha Ni lzm vijana wapambne kwa namna zoKte hizo risiki utakutana nazo mbele kwa mbel kuliko kusubiria risiki usio ijuwa ,Mgawa RIZIKI, THAWABU, BARAKA ni MUNGU . Yeye ndiye katuumba na ni yeye pekee ndiye anajua Hatima ya maisha yetu. Akiamua atakalo lazima atende na hakuna wa kumzuia.
Uko sahih kbsa mkuuu eti mgawa risiki Ni mungu badla aimize vijana kujituma na Kisha riski ziwakute huko mbele kwambel. Yeye anawambia mgawa tahawabu Ni mungu huyu jmaaa Ni mshenzi sna hafai dunian wala mbinguniHuu ubongo wako umeoza mgawariziki kaingiaje apo jaribu kupambania hatima yako acha upuuzi
8. Begi la mgongoni.1. Namba ya NIDA.
2. Leseni ya udereva.
3. TIN number.
4. Bank Account.
5. Passport.
6. Computer skill ( hata kidogo)
7. Mengine ni mengineyo.
Riski = riziki. Wewe ni Dr wa nini?Uko sahih kbsa mkuuu eti mgawa risiki Ni mungu badla aimize vijana kujituma na Kisha riski ziwakute huko mbele kwambel. Yeye anawambia mgawa tahawabu Ni mungu huyu jmaaa Ni mshenzi sna hafai dunian wala mbinguni
Mungu bado hajataka. It is just a matter of time!Watu tuna hadi vyeti vya uviko na homa ya manjano lakini wapiii[emoji23]
Sijui kwa upande wako kwa hili ulisemalo mm nimechukulia DAR ndani ya cku 10 za kazi tu.Na hata Mia yangu hawajala. Kila mahitaji yao ya kuambatanisha nilikua nayo bila kukosa. Mpk wakakubali kunipatia. Ugumu wako ww ulikua kwenye nn sana.Upatikanaji wa passport ni mgumu sana
Cheti kuzaliwa Cha BibiSijui kwa upande wako kwa hili ulisemalo mm nimechukulia DAR ndani ya cku 10 za kazi tu.Na hata Mia yangu hawajala. Kila mahitaji yao ya kuambatanisha nilikua nayo bila kukosa. Mpk wakakubali kunipatia. Ugumu wako ww ulikua kwenye nn sana.
Si mwana sheria anakutengenezea kiapo mkuu.Cheti kuzaliwa Cha Bibi
Passport inakusaidia nini kupambana, siku hizi kila kitu unapambania mtandaoni, unaenda hadi marekani kwa mtandao tukwanini unakata, tupe ufafanuzi
Mbona bwege ha ha haWapo watu wana vitambulisho vya nida kabisa sio namba
Wapo watu wanaleseni zinaqualification na certificate kutoka VETA, NIT na PVS
Wapo wenye TIN number nzuri tu
Wapo watu wana computer skill wanajua graphic design coding nk
Watu wana account zaidi ya moja crdb NMB DTB maendeleo bank nk
Ila hawana ajira kwa sababu wanategemea ajira.
Ila kama huna ajira unataka kujiajiri hizo sio zana ni mabomu ya kukurudisha nyuma.
Zana ni
Mawasiliano
Maarifa sahihi
Competence
Self employment.
Wewe unawaza kuajiliwa kama afisa takwimu unataka kumhesabu nani bwege nini!
Umenikumbusha kipindi kile mama ndo amechomwa sindano ya uviko, na mm nikapata interview ya ajira portal nikaona na mm nikapate chanjo yangu afu siku ya interview nitafute namna yoyote ile ili tuu niseme na mm nimechanja ili nionekane mzalendo.Watu tuna hadi vyeti vya uviko na homa ya manjano lakini wapiii😂
Hapo kwanza nchekee … 🤣🤣 Hio ilkua written ama oral!?Umenikumbusha kipindi kile mama ndo amechomwa sindano ya uviko, na mm nikapata interview ya ajira portal nikaona na mm nikapate chanjo yangu afu siku ya interview nitafute namna yoyote ile ili tuu niseme na mm nimechanja ili nionekane mzalendo.
Siku majibu yanatoka ya kazi 😂😂😉 kilichotokea nicheke kwanza 😂😂😂
Uelewa wako ni mdogo sana.Passport inakusaidia nini kupambana, siku hizi kila kitu unapambania mtandaoni, unaenda hadi marekani kwa mtandao tu