Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,221
- 22,496
Sasa tangu lini akawa na akiliMimi vyote ninavyo ila nauza nyanya karatu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa tangu lini akawa na akiliMimi vyote ninavyo ila nauza nyanya karatu.
Mchawi pesa na koneksheni. Utaletewa passport mlangoniUpatikanaji wa passport ni mgumu sana
😂😂 kitakusaidia siku.Watu tuna hadi vyeti vya uviko na homa ya manjano lakini wapiii😂
1. Namba ya NIDA.
2. Leseni ya udereva.
3. TIN number.
4. Bank Account.
5. Passport.
6. Computer skill ( hata kidogo)
7. Mengine ni mengineyo.
Ulitumia sh ngap jumlaSijui kwa upande wako kwa hili ulisemalo mm nimechukulia DAR ndani ya cku 10 za kazi tu.Na hata Mia yangu hawajala. Kila mahitaji yao ya kuambatanisha nilikua nayo bila kukosa. Mpk wakakubali kunipatia. Ugumu wako ww ulikua kwenye nn sana.
Bila kusahau Elimu ya Uraia.1. Namba ya NIDA.
2. Leseni ya udereva.
3. TIN number.
4. Bank Account.
5. Passport.
6. Computer skill ( hata kidogo)
7. Mengine ni mengineyo.
Leta sababu za kukata.Hoja hupingwa kwa hoja.Vyote nakubali, ila hapo Passport nakataa
Soma uzi, nimeshajibu mara kadhaa kwa hoja.Leta sababu za kukata.Hoja hupingwa kwa hoja.