Kama kijana mpambanaji, hakikisha hukosi vitu hivi

Kama kijana mpambanaji, hakikisha hukosi vitu hivi

Hatima ya maisha yangu iko mikononi mwa Mungu.

Na sina uwezo wa kuipambania.

Nasema hivi kwasababu.... Jana tumemzika Ndugu yetu ambae alikua anapambania Hatima ya maisha yake (sisi pia tukaongeza nguvu ya kumpambania)....pesa nyingi sana zimetumika kuuokoa uhai wake...lakini Mungu akasema no! Akamchukua.

Unaweza kwenda kwenye usaili ukakutana na vichwa,...na ukawa hauna hata vigezo...lakini ukashangaa umepita kirahisi sana. MUNGU NI FINAL SAY KATIKA MAISHA YETU, MENGINE MBWEMBWE TU


Note: kila mtu anataka na anapenda kuwa na maisha mazuri. Tuwe makini sana katika upambanaji wetu.

USITUMIE nguvu katika upambanaji wako, tumia AKILI.
Sasa hauoni kua mungu huyu unaemtukuza unamzalilisha hebu zinapokua maada zakibinaadam acheni kuuingiza uhusika wake kwamaana yeye nikila kitu ila kashindwa kumuokoa jamaako mliye mgaramia nakumwombea kwahio unautweza ukuu wake kirahisi nakizembe kwasababu unamuhusisha namambo ambayo keshayamaliza kwakukupa akili punguzeni unafiki fanyeni kazi kwa maarifa mungu keshajivua
 
Usiwapotoshe aise wacha Ni lzm vijana wapambne kwa namna zoKte hizo risiki utakutana nazo mbele kwa mbel kuliko kusubiria risiki usio ijuwa ,

Huo msemo wako Ni mbay sna na kidgo iniaadhiri vibaya hvyo imiza watu waingie mzigoni risiki itakwakuta njiani okay period
kuna watu wajinga sana hivi ingekua riziki tu situngekua tunalala muda wote riziki siipo hawa watu niwapotoshaji wakubwa
 
Nakumbuka nilipata shavu moja kwa kujua excel tu..... Wenzangu wote walikuwa bila bila
 
1. Namba ya NIDA.
2. Leseni ya udereva.
3. TIN number.
4. Bank Account.
5. Passport.
6. Computer skill ( hata kidogo)
7. Mengine ni mengineyo.
Kuna vingine ninavyo hapo hujaorodhesha lakn maisha ni ngumu ile hatar
 
Wapo watu wana vitambulisho vya nida kabisa sio namba
Wapo watu wanaleseni zinaqualification na certificate kutoka VETA, NIT na PVS
Wapo wenye TIN number nzuri tu
Wapo watu wana computer skill wanajua graphic design coding nk
Watu wana account zaidi ya moja crdb NMB DTB maendeleo bank nk

Ila hawana ajira kwa sababu wanategemea ajira.
Ila kama huna ajira unataka kujiajiri hizo sio zana ni mabomu ya kukurudisha nyuma.

Zana ni
Mawasiliano
Maarifa sahihi
Competence
Self employment.

Wewe unawaza kuajiliwa kama afisa takwimu unataka kumhesabu nani bwege nini!
Lazima upinge tu kisa huna baadhi ya vitu tajwa apo.
 
Back
Top Bottom