Kama sio mpambanaji utaona haina umuhimu.Vyote nakubali, ila hapo Passport nakataa
8:connection1. Namba ya NIDA.
2. Leseni ya udereva.
3. TIN number.
4. Bank Account.
5. Passport.
6. Computer skill ( hata kidogo)
7. Mengine ni mengineyo.
Huu ubongo wako umeoza mgawariziki kaingiaje apo jaribu kupambania hatima yako acha upuuziMgawa RIZIKI, THAWABU, BARAKA ni MUNGU . Yeye ndiye katuumba na ni yeye pekee ndiye anajua Hatima ya maisha yetu. Akiamua atakalo lazima atende na hakuna wa kumzuia.
Hatima ya maisha yangu iko mikononi mwa Mungu.Huu ubongo wako umeoza mgawariziki kaingiaje apo jaribu kupambania hatima yako acha upuuzi
Wapo watu wana vitambulisho vya nida kabisa sio namba1. Namba ya NIDA.
2. Leseni ya udereva.
3. TIN number.
4. Bank Account.
5. Passport.
6. Computer skill ( hata kidogo)
7. Mengine ni mengineyo.
Labda kwakoUpatikanaji wa passport ni mgumu sana