Kama kijana mpambanaji, hakikisha hukosi vitu hivi

Sasa hauoni kua mungu huyu unaemtukuza unamzalilisha hebu zinapokua maada zakibinaadam acheni kuuingiza uhusika wake kwamaana yeye nikila kitu ila kashindwa kumuokoa jamaako mliye mgaramia nakumwombea kwahio unautweza ukuu wake kirahisi nakizembe kwasababu unamuhusisha namambo ambayo keshayamaliza kwakukupa akili punguzeni unafiki fanyeni kazi kwa maarifa mungu keshajivua
 
kuna watu wajinga sana hivi ingekua riziki tu situngekua tunalala muda wote riziki siipo hawa watu niwapotoshaji wakubwa
 
Nakumbuka nilipata shavu moja kwa kujua excel tu..... Wenzangu wote walikuwa bila bila
 
1. Namba ya NIDA.
2. Leseni ya udereva.
3. TIN number.
4. Bank Account.
5. Passport.
6. Computer skill ( hata kidogo)
7. Mengine ni mengineyo.
Kuna vingine ninavyo hapo hujaorodhesha lakn maisha ni ngumu ile hatar
 
Lazima upinge tu kisa huna baadhi ya vitu tajwa apo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…