Kama kijana mpambanaji, hakikisha hukosi vitu hivi

Very true mkuu
 
Naked truth
 
Mimi natilia mkazo kwenye kujifunza kazi za mikono Kama vile useremala,fundi ujenzi,fundi umeme, plumbing na kadhalika.

Ukiwa na ujuzi wa hayo mambo Hakuna siku utalala njaa.
 
basi wewe ndo unawaza hayo.

sikuzote wanasema upele humwota asiye na kucha. unakuta mtu anavyo vyote hivyo but hawezi kuvitumia. Skillls nyingi zipo mtandaoni na wana tunaishi kuliko wenye ajira zenu.

nitafute mtaani nikufundishe kitu.

afu takwimu imeingiaje hapo ndugu wa kaliua iheshimu shahada yangu mkuu.
 
Kupata passport ni mbinde sana wamefanya kama ni anasa kuwa nayo.
 
Hivi kunatofauti gani kati ya visa na passport mkuuu??!!naomba kujifunza.
Passport ni kitambulisho ambacho kinakuruhusu mwananchi kuweza kusafiri nchi za nje

Ila

Visa ni ruhusa ambayo unapewa na ubalozi wa hiyo nchi unayotaka kwenda ili wakuruhusu uingie nchini mwao

Nadhani apa umenipata jpo kidogo
 
Nimekupata nduguyangu asante kwa kujali mkuu.je waweza nipatia ni viambata vipi unahitajika kua navyo ili upate passport??kwa faida ya wengihapa.
 
Nimekupata nduguyangu asante kwa kujali mkuu.je waweza nipatia ni viambata vipi unahitajika kua navyo ili upate passport??kwa faida ya wengihapa.
Kwanza ili upate passport kwa Tz wanasema ni lazima uwe na kiambatanisho kua untka kusafiri mna Tz hawatoi passport kma kitambulisho cha Nida

Vitu ambavyo unatakiwa kuwa navyo ni hivi hapa

Kwanza ili upate passport kwa Tz wanasema ni lazima uwe na kiambatanisho kua untka kusafiri mna Tz hawatoi passport kma kitambulisho cha Nida

Vitu ambavyo unatakiwa kuwa navyo ni hivi hapa

View attachment 2600130
Asante sana mkuu.ila kwa mtazamo wangu,ushahidi wasafari ya nje daahh,
 
Asante sana mkuu.ila kwa mtazamo wangu,ushahidi wasafari ya nje daahh,
Yani mfano kma umeomba chuo basi unatakiwa uplke admission letter ili uweze kupata passport
 
Kama kijana mpambanaji hakikishe unakuwa na hela tu inatosha.
 
Hiyo namba 5 ndo bado sijaifanyia kazi, Ngoja ni ipambanie
 
Mimi vyote ninavyo ila nauza nyanya karatu.
 
Mimi pia nahitaji passport , mwenye connection ya kutusaidia kuipata chap atupe info
Kupata passport hakuhitaji connection ila unahitaji mtu mwenye uzoefu wa kuomba passport ili akusaidie process maana kosa dogo kwenye ujazaji wa taarifalinaweza kukugharimu kuanza process upya ambayo ni gharama mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…