Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Nidhamu tu kwa ujumla wake, kwenye kazi, jamii, masomo, dini, maisha na mambo mengine Mkuu. Itakusaidia sana japo kuna watakaokuona kama mjinga hivi ila itakusaidia sana.Sawa ahsante. Kwenye imani sina shaka. Je, kwenye nidhamu ni nidhamu ya aina ipi?