Kama kijana nifanye vipi sasa kabla muda haujanitupa mkono?

Kama kijana nifanye vipi sasa kabla muda haujanitupa mkono?

Kaa mbali na wanawake
Wekeza katika career nikimaanisha Kazi na sio vitu mfano ukipata hela nunua vitu vya muhimu tu Kama Kitanda Godoro ,hela nyingine wekeza katika career yako kupitia hiyo matunda utakayopata ndo utaanza kununua liabilities so invest on ur carrer firstly.

Kaa mbali na Pombe na wanawake hii haimaniishi usiende clubs No

Pesa hakikisha haikuendeshi kudharau watu au kutukana Mtu respect everyone .
"Pesa hakikisha haikuendeshi kudharau watu au kutukana Mtu respect everyone ."
[emoji115]
Ahsante kaka yangu #HayaLand
 
Mkuu nina mengi ya kukushauri,ila kama la kwanza ni hili anza kujenga uhusiano mzuri na watu waliofanikiwa,jifunze kupitia wao,kuwa kama nyuki beba uchafu wote kisha uchambue uchafu zaidi uutupe,penda kujituma,penda kujiweka msafi kuwa na heshima kwa kila mtu,usijifanye una jua kila kitu.

Ni hayo kwa sasa.
Ahsante sana. Nakutana nao wapi hao waliofanikiwa ili nijifunze?
 
Nidhamu tu kwa ujumla wake, kwenye kazi, jamii, masomo, dini, maisha na mambo mengine Mkuu. Itakusaidia sana japo kuna watakaokuona kama mjinga hivi ila itakusaidia sana.
Sawa ahsante sana. Nidhamu inakuwa vipi, kwa ujumla?
 
Sawa nashukuru sana. Nina uraibu wa mitandao ya kijamii pia. Je, ni kama ipi? JF?
Mfano utumiaji wangu wa mitandao ya kijamii uko kibiashara zaidi. Hapa JF ni sehemu yangu kubwa ya kutolea stress na mawazo. Huwa naingia humu in my free time labda nikiwa kwenye daladala, natafuta usingizi au nimepoz tu

Vijana wengi wanashinda kwenye mitandao ya kijamii badala waende kutafuta pesa. Unakuta mtu kucha kutwa anatongoza watu mitandaoni cha ajabu anatongoz wanaume wenzake bila kujua. Huoni huko ni kupoteza mda?
 
Mfano utumiaji wangu wa mitandao ya kijamii uko kibiashara zaidi. Hapa JF ni sehemu yangu kubwa ya kutolea stress na mawazo. Huwa naingia humu in my free time labda nikiwa kwenye daladala, natafuta usingizi au nimepoz tu

Vijana wengi wanashinda kwenye mitandao ya kijamii badala waende kutafuta pesa. Unakuta mtu kucha kutwa anatongoza watu mitandaoni cha ajabu anatongoz wanaume wenzake bila kujua. Huoni huko ni kupoteza mda?
Hakika huko ni kupoteza muda
 
1: Muamini mwenyezi Mungu mtangulize kwenye kila jambo...

2:-Kama binadamu mwenzako nakushauri achana na starehe za namna yeyote...

3:- Weka bidii kwenye kila jambo la kimaendeleo na hapo ulipo hujachelewa kila kibaya (madhaifu) unachokiona wazia kukigeuza kuwa kizuri kwenye mazingira yako
 
Heri ya siku njema ya leo.
Mimi ni kijana wa miaka 24 naelekea kutimizia 25 hivi karibuni. Ninasoma chuo kikuu mwaka wa nne(wa mwisho).

Nimewaona wengi ambao wangeweza kunishauri vitu vya msingi vya kuwa navyo umri huu kabla muda haujaniacha, ila kwa heshima ya madini yatokayo JF nimeamua kuja humu kwanza kutoa duku duku langu hili.

Humu najua tupo watu tofauti ila wengi ni intellectuals. Naomba mnisaidie fumbo langu hili, kulitafsiri na kuniambia chochote kitu.

Sitaki kujutia kama wengi wa miaka 50+ wanavyojuta, kwa kushindwa kuukomboa wakati. Sitaki yanifike hayo.

Wakati ni sasa, na leo ni leo asemaye kesho ni mwongo. Wakati umeiva!
suala la totoz zingatia sana ukiwa chuo, nje huku tabu tupu aisee
 
Back
Top Bottom