Kama kijana nifanye vipi sasa kabla muda haujanitupa mkono?

"Pesa hakikisha haikuendeshi kudharau watu au kutukana Mtu respect everyone ."
[emoji115]
Ahsante kaka yangu #HayaLand
 
Ahsante sana. Nakutana nao wapi hao waliofanikiwa ili nijifunze?
 
Nidhamu tu kwa ujumla wake, kwenye kazi, jamii, masomo, dini, maisha na mambo mengine Mkuu. Itakusaidia sana japo kuna watakaokuona kama mjinga hivi ila itakusaidia sana.
Sawa ahsante sana. Nidhamu inakuwa vipi, kwa ujumla?
 
Sawa nashukuru sana. Nina uraibu wa mitandao ya kijamii pia. Je, ni kama ipi? JF?
Mfano utumiaji wangu wa mitandao ya kijamii uko kibiashara zaidi. Hapa JF ni sehemu yangu kubwa ya kutolea stress na mawazo. Huwa naingia humu in my free time labda nikiwa kwenye daladala, natafuta usingizi au nimepoz tu

Vijana wengi wanashinda kwenye mitandao ya kijamii badala waende kutafuta pesa. Unakuta mtu kucha kutwa anatongoza watu mitandaoni cha ajabu anatongoz wanaume wenzake bila kujua. Huoni huko ni kupoteza mda?
 
Hakika huko ni kupoteza muda
 
1: Muamini mwenyezi Mungu mtangulize kwenye kila jambo...

2:-Kama binadamu mwenzako nakushauri achana na starehe za namna yeyote...

3:- Weka bidii kwenye kila jambo la kimaendeleo na hapo ulipo hujachelewa kila kibaya (madhaifu) unachokiona wazia kukigeuza kuwa kizuri kwenye mazingira yako
 
suala la totoz zingatia sana ukiwa chuo, nje huku tabu tupu aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…