Kama kila ukipata pesa unashikwa na kiu ya pombe au kufanya ngono, kijana safari yako ya maisha itakuwa fupi na yenye misukosuko

Muhimu ku coute
Sasa kumekuwa na wimbi la vijana wajinga na wapumbavu wengi sana.
Wanatafuta pesa kwa bidii halafu wakizipata tu huziona ndogo kisha huamua kuzipeleka bar au lodge.

Unapata laki tatu unasema hii haitoshi kujengea nyumba, haitoshi kununulia kiwanja, haitoshi kufungulia biashara ya tigopesa au mpesa.

Kama ingekuwa haitoshi basi isingetosha kumuhonga demu uliyembatiza jina na kumwita pisi kali.p

Tabia za uesharati na ulevi hufanya vijana wengi wafe mapema. Tabia hizi humpelekea kijana kudharaulika katika jamii, tabia hizi hupelekea vijana wengi kuwa na uzee mgumu
Ni hivi ukiwa na miaka 18 akili yako ni tofauti ukiwa miaka 27 au zaidi.
 
Issue sio akili bro. Tumepewa uhuru wa kuchagua namna ya kuishi. Chagua vizuri, tumia akili na kumtegemea Mungu vinginevyo matokeo ya kuchagua lifestyle mbaya zitatutesa sana.
Nakubaliana na wewe. Ila ukiwa kijana kuna vitu unafanya.
Wewe ulipokuwa kijana ulikuwa na akili hizi.

Tunatoufuti kuwa mature, to becone A Man.
 
Tukosoane ila tusitetane, maisha ndo haya haya. We live once , sorry!!! We live everyday
 
Usifuatilia ya watu
Usisaidie watu

Ukifuatilia ya watu
Saidia watu

Mimi sisaidiagi masikini na wala sina muda nao, maana masikini wakipata hatawaki uwaingilie, ila wakikwama wanakuja na machozi.
Hapa kwangu nimeshatimua wapuuzi wawili waliokujaga kunililia shida zao za hovyo,
 
Sasa kumekuwa na wimbi la vijana wajinga na wapumbavu wengi sana.
Wanatafuta pesa kwa bidii halafu wakizipata tu huziona ndogo kisha huamua kuzipeleka bar au lodge.

Unapata laki tatu unasema hii haitoshi kujengea nyumba, haitoshi kununulia kiwanja, haitoshi kufungulia biashara ya tigopesa au mpesa.

Kama ingekuwa haitoshi basi isingetosha kumuhonga demu uliyembatiza jina na kumwita pisi kali.p

Tabia za uesharati na ulevi hufanya vijana wengi wafe mapema. Tabia hizi humpelekea kijana kudharaulika katika jamii, tabia hizi hupelekea vijana wengi kuwa na uzee mgumu
Ndugu yangu kama unadhan kuacha pombe ni jambo rahis kwa kuwa ww hunywi, nakushauri anza ww kunywa pombe, ukishaijua raha yake ujaribu kuacha, ukiweza uwashauri na wengine waache
 
Usifuatilia ya watu
Usisaidie watu

Ukifuatilia ya watu
Saidia watu

Mimi sisaidiagi masikini na wala sina muda nao, maana masikini wakipata hatawaki uwaingilie, ila wakikwama wanakuja na machozi.
Hapa kwangu nimeshatimua wapuuzi wawili waliokujaga kunililia shida zao za hovyo,

[emoji23] [emoji23]
 
Itapendeza kama ni utani. Hii ni Don't try it at home!
 
Ndugu yangu kama unadhan kuacha pombe ni jambo rahis kwa kuwa ww hunywi, nakushauri anza ww kunywa pombe, ukishaijua raha yake ujaribu kuacha, ukiweza uwashauri na wengine waache
Ila hawajui kuwa mnywa pombe akikuangalia ww mtu ambae hutumii anaweza kukusoma na kupata full picture unavyo-describe wengine na kuwaona wajinga
 
mnakosea sana kudhani kila mtu furaha yake ni kuwa na familia,gari,nyumba au pesa nyingi benki.

hakuna mwenye malengo hayo halafu akahonga au kushinda bar,hawezi.
 
Mambo ya ulevi wa kingese ngese kuna boya mmoja huko whasap ndo ana trend katoa dushe anakojoa grocery dunia nzima inaona usenge wake so vijana msiwe wabishi inatambulika wazi na ukweli unauma punguza ulevi usio na tija boya wewe povu ruksa
 
Kwani mwanamke sio kijana,maana wengine wengi ni single mother na wana somesha na wanalisha familia zao coz wao ni pis kali na kwa siku anweza kuingiza laki 5.
 
Wewe unataka kuishi milele.!? Au unadhani kila mtu anapaswa kupenda kile unachopenda..!?
 
mnakosea sana kudhani kila mtu furaha yake ni kuwa na familia,gari,nyumba au pesa nyingi benki.

hakuna mwenye malengo hayo halafu akahonga au kushinda bar,hawezi.

Well said binadamu malengo hatufanani
 
Hakuna utani hapo, hata kama jamaa hajafanya hivyo ila ndo ukweli wenyewe... ukimsaidia masikini UTAJUTA.
Simply not true. Kila msaada utoao whether kwa maskini au tajiri kuna returns zake na faida kubwa tu. Siyo nadharia bali ni kitu VERY REAL REALLY.
 
Back
Top Bottom