Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie kikosi alikipanga sahihi kabisa. Simba msiingie kwenye mitego ya Yanga wanataka kumalizia maumivu Yao kwenu. Haya sio mashindano ya urembo ni kupambania point tatu.Kocha hachezi yeye anatoa mbinu za ushindi tu.
Ukiona mwalimu mpya anaanza na kipigo..ujue moto kimbunga kitaanua bati sasa hivi...Ukiona kipa anakuwa man of the match,ujue Moshi utatoka nje si muda mrefu
Sunami inakuja😂😂. Mie nashangaa wanapata wapi ujasiri WA kumkosoa Fadlu wakati Kwao Wana bomu limeshategeshwa bado kulipuka Tu😂😂Ukiona mwalimu mpya anaanza na kipigo..ujue moto kimbunga kitaanua bati sasa hivi...
Hawa vyura mechi mbili tu wanafukuza kocha na kumleta ambaye hana hata uzoefu wa CL hawajielewi.Waambie kikosi alikipanga sahihi kabisa. Simba msiingie kwenye mitego ya Yanga wanataka kumalizia maumivu Yao kwenu. Haya sio mashindano ya urembo ni kupambania point tatu.
Ngoja tuwasubirie tuwaone wanashadadia ya kwetu huku atleast tunauona mwanga..Sunami inakuja😂😂. Mie nashangaa wanapata wapi ujasiri WA kumkosoa Fadlu wakati Kwao Wana bomu limeshategeshwa bado kulipuka Tu😂😂
😅Wale wengine wanacheza vizuri kweli ila wanakandwa kweli. Yaani ni kama mwanamke mwenye sura nzuriii ila sasa...
Kumbe upo,saizi ile Mangungo out hatusikii 😀Ukiona mwalimu mpya anaanza na kipigo..ujue moto kimbunga kitaanua bati sasa hivi...
Anaongoza kundi sasa hivi,huyo wenu mko nafasi ya NgapiNi kocha la viwango hilo🤣🤣 kama aliishusha timu daraja unategemea akuvushe akupeleke wapi!
Ile timu iliyopigwa 2 ilikuwa inacheza formation gani? Kuna wakati beki alikuwa anatambaa😄Tatizo kubwa la simba wachezaji ni wabinafsi hawachezi ki team hivyo simba haieleweki inacheza formation gani.
Ila Side, ati nilikwambia ubane....ukajiachia kama upo leba 😅😅😅Ile timu iliyopigwa 2 ilikuwa inacheza formation gani? Kuna wakati beki alikuwa anatambaa😄
Formation wanayocheza ni Ile ya kuishusha timu daraja,,kocha wa ivyo kimbinu ni mweupe kama nyeti za kuku!Tatizo kubwa la simba wachezaji ni wabinafsi hawachezi ki team hivyo simba haieleweki inacheza formation gani.
Formation ya kutambaa ya Jana ndio ilikuwa the best😄😄 Kweli kufungwa kubaya UTO mnaweweseka 😂😂Formation wanayocheza ni Ile ya kuishusha timu daraja,,kocha wa ivyo kimbinu ni mweupe kama nyeti za kuku!
Msamehe vipigo vitatu mfululizo madishi yameyumba😂😂We utopinyo...Simba ipo vizuri
Kuna watu wa ajabu sana nchi hii,wanadhani ushindi ni kitu rahisi,hata hao wageni wamekuja kwa nia ya kushinda,nao walijipanga na wala si ajabu kushinda ugenini,kama Utopolo walifungwa goli mbili bila hapa hapa nyumbani,kwa Nini Simba isipewe heshima yake Kwa kuwashinda wageni goli moja bila?Mmekaa kukosoa kila kitu kujiona mnajuaaa mpira..
Kocha hamna pale Mzee wa aggressive defense Leo ameanza na squad mbovu, game ya Leo was the soft game KIBU hakutakiwa kuanza NGOMA ana shida hata kugeuka ni shida.Sijaona uwezo wa kocha kabisa na kunifanya niamini kweli Simba inae kocha, tulicheza na Pamba tukashambuliwa hivi hivi Kama sio uhodari wa kipa Camara Leo Bravos alikuwa anatudhalilisha.
Kwanza Fahdu hajui kupanga kikosi kabisa zaidi ya kubahatisha, pili timu inacheza kwa kiwango cha chini mno, Tatu kuna wachezaji anawachukia bila sababu za msingi mfano ni Awesu Awesu, hata akiamua kumpanga basi anampanga kuturidhisha sisi na ndio maana kipindi cha 2 lazima amtoe hata Kama mpira anautaka.
Viungo Ngoma na Okajepha wanapooza sana pale Kati, Mavambo kiwango kimepungua sana, yaan huwezi amini kama ile ni Simba.
Huyu Ahoua ndio usiseme, kazi yake ni kupiga penati tu, hana lolote alilolifanya Leo, Mukwala ndio hamna kitu kabisa
Huwezi kuniambia kuwa unautaka ubingwa kwa kiwango kibovu namna ile