Kama Kocha Fahdu analipwa mamilioni kwa mpira huu basi viongozi wa Simba mjitafakari sana

Ee nimeona Ahoua anapewa makavu live na Ngoma akaanza kulalamika kwa ishara ni kama Ngoma alikua anamwambia awe anatoa pass haraka haraka...
Mechi tungeiua kipindi Cha kwanza na goli nyingi.

Pale mbele bado kabisa ngoja tusubiri maingizo ya kina mpanzu
 
Sijaona uwezo wa kocha kabisa na kunifanya niamini kweli Simba inae kocha, tulicheza na Pamba tukashambuliwa hivi hivi Kama sio uhodari wa kipa Camara Leo Bravos alikuwa anatudhalilisha.

Kwanza Fahdu hajui kupanga kikosi kabisa zaidi ya kubahatisha, pili timu inacheza kwa kiwango cha chini mno, Tatu kuna wachezaji anawachukia bila sababu za msingi mfano ni Awesu Awesu, hata akiamua kumpanga basi anampanga kuturidhisha sisi na ndio maana kipindi cha 2 lazima amtoe hata Kama mpira anautaka.

Viungo Ngoma na Okajepha wanapooza sana pale Kati, Mavambo kiwango kimepungua sana, yaan huwezi amini kama ile ni Simba.

Huyu Ahoua ndio usiseme, kazi yake ni kupiga penati tu, hana lolote alilolifanya Leo, Mukwala ndio hamna kitu kabisa

Huwezi kuniambia kuwa unautaka ubingwa kwa kiwango kibovu namna ile
Una CV yoyote ya ukocha au ukocha wako ni kupitia king'amuzi cha Azam TV? Ahahahahaha!!!
 
Simba Leo kacheza Mpira mzuri! Japo mi sio shabiki wa madunduka ila kwa leo wamejitahid! Kikubwa wamepata point 3! Sisi sasa daah cjui tatzo nin?
 
Tatizo kubwa la simba wachezaji ni wabinafsi hawachezi ki team hivyo simba haieleweki inacheza formation gani.
Wabinafsi haswa, kila mtu anataka kufunga badala ya kutoa pasi kwa mtu alie position nzuri ya kufunga. Na ndo imefanya tusishinde magoli mengi
 
Sijaona uwezo wa kocha kabisa na kunifanya niamini kweli Simba inae kocha, tulicheza na Pamba tukashambuliwa hivi hivi Kama sio uhodari wa kipa Camara Leo Bravos alikuwa anatudhalilisha.

Kwanza Fahdu hajui kupanga kikosi kabisa zaidi ya kubahatisha, pili timu inacheza kwa kiwango cha chini mno, Tatu kuna wachezaji anawachukia bila sababu za msingi mfano ni Awesu Awesu, hata akiamua kumpanga basi anampanga kuturidhisha sisi na ndio maana kipindi cha 2 lazima amtoe hata Kama mpira anautaka.

Viungo Ngoma na Okajepha wanapooza sana pale Kati, Mavambo kiwango kimepungua sana, yaan huwezi amini kama ile ni Simba.

Huyu Ahoua ndio usiseme, kazi yake ni kupiga penati tu, hana lolote alilolifanya Leo, Mukwala ndio hamna kitu kabisa

Huwezi kuniambia kuwa unautaka ubingwa kwa kiwango kibovu namna ile
Pamoja na kua ni shabiki wa Simba.

Leo wamecheza Kama wachezaji wa UMISETA ama UMITASHUMTA.

Ukitambua kua wewe ni professional player hutakiwi kucheza Kama local prayer ukienda mitaa ya mwanza shamaliwa primary school stadium utawapata mchangani kina MUKWALA,MUTALE,AHUOA,MAVAMBO,BARUA N.K

haiwezekani professional player Kama MUKWALA kucheza Kama vile nimeangalia mechi Kama BARCELONA VS CELTA VIGO mtu Kama RAPHINA anapata nafasi Kama ya MUKWALA na kuzamisha mpira wavuni.

Mimi binafsi kwenye mguu wangu wa kushoto mwenyezi Mungu aliweka kipaji adhimu Sanaa..nilitabiliwa makubwa Sana tangu udogoni mpaka ukubwani Ila Mimi nili idharau football maana enzi zetu mpira haukuwa na mapesa Kama Sasa..

Yaan mtu Kama MUKWALA ANAPIGA vichwa OVYO OVYO Kama mwehu ivi ni panic au Nini anakosa nafasi nyingi za wazi I swear Mimi ningekua pale mbele Leo nilikua na hat trick safi KABISA.

Pale unatakiwa kutuliza pressure na kujiposition na kua mtulivu yaan kuacha papara.

Au avute BANGE ili apate utulivu wa akili na kuondoa uoga

Aisee tumeshinda Ila hatuna furaha tukikutana na timu ngumu na tukaendea kucheza hivi tutachezea nyingi.

All in all, Asante Sanaa Camara wewe Leo ndie MAN OF THE MATCH.
 
Naunga hoja kwa 100% kabisa nahis kocha ana chuki binafc juu ya awesu huyu dogo ohua hana uwezo wakupamban na mabeki katili jamaa pasi zake nyingi hufia miguuni mwa wapinzani alafu hajuti kabisa yupo slow sana unajiuliz huyu ndo mvp kwel kasi hana dribling mbovu kabisa......yaani yey kaja sijui kupiga penalty na mipira ya faulo nashangaa sana

Mukwala huyu sio striker kabisa ni mbovu inshort hawan tofaut na dube wachezaji kama mukwal wapo wengi sana kweny ligi yetu huko pamba tabora nk unawapata jamaa bora boco anapat nafac tano na anakosa zote so ni finisher gani huyo kama really striker no9 unajiuliz huyu anafany nini nafas za wazi hajui kabisa kuweka mpira wavuni ovyo kabisa

Huyu mutale ni takatak kabis jamaa harekebishiki kabisa anachojua akishik mpira ni kukimbia kichwa kaangalia chini kibay zaid anatak firtst touch yake ya kwanza ni akimbie bila kuona adui mbel yupo au hayupo poor thinking brain kweny maamuzi jamaa karibia msimu mzimu makosa yake ni yale yale hajirekebish kabisa...

Nakuja kwa kocha jamaa akae ajue hiz mechi tatu simba imekuwa inapata matokeo kwa tabu sana maan yake hajui 1st eleven yake ni ipi anaanzisha kikosi kama majaribio hajui sub zake afany kwa wakat gani najiuliz sana lakin tukiongea tutaonekan hatuipend team yetu ya simba lakin ukwel utabak pale pale uchezaji wetu umeshuka mno
 
Kuna watu wa ajabu sana nchi hii,wanadhani ushindi ni kitu rahisi,hata hao wageni wamekuja kwa nia ya kushinda,nao walijipanga na wala si ajabu kushinda ugenini,kama Utopolo walifungwa goli mbili bila hapa hapa nyumbani,kwa Nini Simba isipewe heshima yake Kwa kuwashinda wageni goli moja bila?
Ushindi ni ushindi TU Kuna siku utashinda kwa magoli mengi na Kuna siku utashinda kwa goli moja.
Mbona Al Ahily Tripoli tuliwapiga goli Tatu kwa moja?
Watu wakumbuke siku hazifanani.
Mara nyingi watu wanadhani kupinga kila kitu ndo uanaume...
 
Mapema sana kumlaumu Fadlu ila kama mnataka kutoa boko kama la Yanga kwa Gamondi sawa.
 
Naunga hoja kwa 100% kabisa nahis kocha ana chuki binafc juu ya awesu huyu dogo ohua hana uwezo wakupamban na mabeki katili jamaa pasi zake nyingi hufia miguuni mwa wapinzani alafu hajuti kabisa yupo slow sana unajiuliz huyu ndo mvp kwel kasi hana dribling mbovu kabisa......yaani yey kaja sijui kupiga penalty na mipira ya faulo nashangaa sana

Mukwala huyu sio striker kabisa ni mbovu inshort hawan tofaut na dube wachezaji kama mukwal wapo wengi sana kweny ligi yetu huko pamba tabora nk unawapata jamaa bora boco anapat nafac tano na anakosa zote so ni finisher gani huyo kama really striker no9 unajiuliz huyu anafany nini nafas za wazi hajui kabisa kuweka mpira wavuni ovyo kabisa

Huyu mutale ni takatak kabis jamaa harekebishiki kabisa anachojua akishik mpira ni kukimbia kichwa kaangalia chini kibay zaid anatak firtst touch yake ya kwanza ni akimbie bila kuona adui mbel yupo au hayupo poor thinking brain kweny maamuzi jamaa karibia msimu mzimu makosa yake ni yale yale hajirekebish kabisa...

Nakuja kwa kocha jamaa akae ajue hiz mechi tatu simba imekuwa inapata matokeo kwa tabu sana maan yake hajui 1st eleven yake ni ipi anaanzisha kikosi kama majaribio hajui sub zake afany kwa wakat gani najiuliz sana lakin tukiongea tutaonekan hatuipend team yetu ya simba lakin ukwel utabak pale pale uchezaji wetu umeshuka mno
Wewe si shabiki wa mpira. Tatizo lako unadhani Simba ni kila kitu na inastahili kushinda tu na si vinginevyo. Ona unavyowatukana wacheza bila haya. Wewe unafanikiwa kila kitu katika mipango yako? Kama unaona wachezaji wote ni takataka si uombe usajiliwe wewe? Ninyi mashabiki wa 2000 taabu kwelikweli.
 
Pasuka
 
Siwezi kupasuka kwasababu ya shabiki limbukeni kama wewe anayedhani wachezaji wako perfect kama malaika. Kelele nyiiiiiingi, halafu huchangii chochote walau kununua hao wachezaji unaowataka. Kazi kuipigia kelele mifuko ya wenzako tu.
 
Sasa kocha kamkuta Mkwalaa asimpange jamani🤣🤣Ila Mkwala anamkwala aliweka ring kichwani kama chezaji kweli.
 
Siwezi kupasuka kwasababu ya shabiki limbukeni kama wewe anayedhani wachezaji wako perfect kama malaika. Kelele nyiiiiiingi, halafu huchangii chochote walau kununua hao wachezaji unaowataka. Kazi kuipigia kelele mifuko ya wenzako tu.
Shida mkiambiwa ukwel na team yenu huwaga mnaona kama mnanangwa ukwel uswem tu unazani utaend na hiyo team mbinguni
 
Fadlu leo kazingua unamuachaje ateba na mavambo nje?

Afu ahua naye apunguze utoto anazingua mbinafsi sana yeye na mwenzake mukwara
Tatizo la huyu jamaa baada ya yeye kuchezesha timu na kupiga pasi za mwisho yeye ndio anataka afunge halafu anacheza mpira wa majivuno
 
Back
Top Bottom