Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Sawa anauhakika gani kuwa mchongo uliomuondoa pale ni wa ujuzi aliompa.Hakibadiliki kitu ila kwa mtu aliekufundisha kazi kakupa maujuzi kazi nzu zikija anakupa leo unaondoka kama umegombana nae sidhani kama ni uungwana haya ukahitaji kurudi inakuaje? Ila sikupingi tunatofautiana na sio lazima kuaga
Research niliyoifanya kwenye hizi nchi za watu wajinga ni ngumu kufanya nao project ya maana... Hivi lijitu km Lucas Mwashambwa utajadili nalo ishu gani ya msingi.
Lenyewe kutwa kumsifia mama samia kuliko kujadili namna ya kujikwamua yeye na wanzake walionae kimaisha. Lenyewe halina project ya maana kutwa kujikomba tu.
Hii Africa ww km uko serious fanya mambo yako km kuna mtu yuko serious ataungana na ww ila hakikisha humuwek akilini. Fanya mambo yako hata km una wengine assume km hawapo. Ni km hawa wanawake wa kibongo unaweza ukaweka nguvu kwa ajili yake lakini kumbe hayuko na ww. So hata km una mwanamke we assume km hauna.
Ni Mnyarwanda. Angalia hata ID yakeNawe ni mtanzania kwani mkuu?
Hahaaaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]peasants ni ngedere SanaPeasant ni hatari sana hawa watu ndio maana Ulaya hili tabaka walilifutilia mbali.Linaongozwa na falsafa ya FISi.Usitegemee lolote kwa mtoto wa peasant.
sijui hataSawa anauhakika gani kuwa mchongo uliomuondoa pale ni wa ujuzi aliompa.
We fanya jaribio dogo tu angalia kwenye sherehe,misiba watoto wa peasant chakula kinavyowatoa amani ππππHahaaaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]peasants ni ngedere Sana
Ndio wanaovuruga hata kwenye uongozi ,we fuatilia tu ,madudu kila kona
Cha ajabu hapa uneisema mitanzania Bureee na Unajua kabisa kusemwa ni hela.Unepoteza muda wako buree lakini mtu akikuomba umuandikie barua utataka hela,na mimi nilivyo Mjinga nimekujibu bureee wakati Najua majibu ni hela.
Inachekesha eeeeh.Acha Roho mbaya mpumbavu wewe kila kitu unataka hela. Mbona mimi nimekutukana buuuureee.
ππππ kumbe!!?Ni Mnyarwanda. Angalia hata ID yake
Yeahππππ kumbe!!?