Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Upunguani haswa na kule shuleni unaitwa "argumentum ad hominem"....pinga kwa hoja mzee baba, habar za kutusi mada aliyoleta mtu bila kuonesha wapi kakosea huo nao ni utoto tena upunguani....jarbu kuwa na akili ya utu uzima
Huna moral authority ya kukemea chochote kilichozidi uwezo wako wa kufikiria.jiheshimu basi, si kila aneongerea habar hizi ni msabato, yapo mambo ambayo yanafanyika dunian nje ya utaratibu wa asili, na yanapokemewa na watu, haimaanish wanaoyakemea ni wafuasi wa kundi fulan la imani, mbona iko wazi hata hao wasabato wana madhaifu yao ambayo wanatakiwa kuunganishwa na sehemu ya uharibifu wa asili ya imani ya kwanza ya mtu.
jitahidi kuondoa chuki zakipumbavu
Duuuuh....unaongea kana kwamba dunia inajizungusha chini ya miguu yako......unajionaje mzee?!!!Huna moral authority ya kukemea chochote kilichozidi uwezo wako wa kufikiria.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Tulia unyoleweDuuuuh....unaongea kana kwamba dunia inajizungusha chini ya miguu yako......unajionaje mzee?!!!
Isijekuwa nao ni UGONJWA huo......
Unajipaje ukinyozi juu yangu ilihali sijakuja kukuletea Kichwa changu katika saluni yako ?!!!😳😳🤣
hakuna tatizo, lkn tatzo ni pale unapojarbu kupinga harakat ambazo wengi wa walioziandaa wamechoma muda wao na rasilimali zao kufikia hapo alafu wew uwapinge..chamoto utakipata
Mbona unakuwa msumbufu wewe kijanaUnajipaje ukinyozi juu yangu ilihali sijakuja kukuletea Kichwa changu katika saluni yako ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]
Isije nao ukawa ni uchizi huo......
Mwenye maarifa ndio ana amua aina ya order.Ni order gani ndio tatizo.
🤣🤣🤣Sawa mzee wangu 🙏
How?Hujui usemal😵rder hiyo itakuwa brutal kiasi ambacho mwanadamu hajawahi kushuhudia.Uonayo sasa Marekani,Canada,Australia,Uingereza in cha mtoto.
Climate change denier?Soma mada usilishwe maneno. Walioadika hiyo paper ni American Airforce Oficers and Scientists,sasa nina deny climate change vipi.Climate Chañge,ipo,laki who is responsible?Wao wameandika paper yao,na wamesema wazi they want to own the weather by 2025.Sasa unabisha ni,kwamba waliyoandika ni uongo.Who are you to deny such obvious truth!?Infact taarifa hii ni kidogo sana,there is so much more.Climate change deniers nyie
haingii akili eti wamarekani waharibu climate ya dunia makusudi ili eti watawale dunia wakati na wao wanaishi hapa hapa duniani ambapo climate hiyo hiyo mbaya itawala kama umeme pia?
Yaani wakate tawi walilokalia pia kwa makusudi?
Acha kuishi kwa hofu,ishi kwa maarifa.Yanayoendelea Australia,Canada na Marekani ni kwa maslahi ya ubinadamu.Hujui hata yanayoendelea Australia,Marekani,Canada and what is in store for you,pole you are so blind.Ni heri ungeulizwa kwa upole ukaelimishwa.