Kama kuna mwanafunzi anasoma tahasusi CBG na HGE imekula kwake. NECTA yazifuta rasmi

Hivi Physics kwenye udaktari inatumika vipi mkuu?
 
Viongozi wetu hawana ubunifu kabisa.

Tangia uhuru wamekua wakiharibu tu badala ya kuleta maendeleo ya kweli.

Wameua taasisi zote za uma zilizokua zinafanya vizuri wakaingiz biashara zao.

Ukiwaambia waje na idea mpya productive hawawezi.

Wanachoweza ni kuharibu na kufuta tu.
 
Advance Kuna combination inamwandaa mtu katika proffesion??


Combination zote za kuunga unga tu, na combination ipi ifae kusoma nini huwa ni maamuzi tu ya wanaopanga


Mfano: program ulizotaja za CBA hata mtu wa CBG anasoma pia


Mwisho 2016 CBG walikuwa wanasoma program nyingi (karibu zote) anazoweza kusoma PCB ikiwemo udaktari


Ila kwa sasa kwenye afya ndio imekuwa changamoto ila programu nyingi bado anasoma ikiwemo udaktari wa wanyama, program nyingi za kilimo bado wanasoma, envronmental health nk
 
Inaonekana haya mambo umeacha kufuatilia kitambo sana na kipindi hicho CBG ilikuwa kama PCB tu
 
Ndiyo. Habari ndiyo hiyo. NECTA imezifuta rasmi combinations za CBG na HGE.

Tafuta utaratibu mwingine kama ulikiwa unasoma hizo combinations.
View attachment 2846585

Nimemaliza!
Mambo hayaendi kienyeji, hata kama wataifuta bado haitakuwa shida kwa wanafunzi ambao wameshaanza kuisoma.


Itafutwa kwa wanaokuja na sio wanaosoma.
 
Inatia huruma aisee watu wamechukua wamesoma kumbe wanakalia kuti kavu πŸ˜ƒ
Hao wanaosema haina proffesion sio wakweli


Kuna watu wamesomea degree za udaktari, unesi, maabara nk

Mpaka sasa bado wanasomea program za kilimo na ufugaji karibu zote isipokuwa zile zinazohitaji watu wa PCM.

Kimsingi kwa sasa ukiachana na program za afya, karibu kila program ambayo PCB anaisoma pia CBG anaweza kuisoma
 
Sahihi, nashangaa watu wanasema vitu bila kuwa na uhakika.

Wakati kupitia somo la biology au chemistry peke yake mtu anaweza kusoma program nyingi tu
 
Hapo kuna watu washakipiga cbg.pcb ni mpango wakuu
Ndugu kwa sasa hata hiyo PCB haina maana.


PCB wengi ndio wanakuja kuwa walimu wa chemistry na biology.


Licha ya kuwa Kuna possibility ya kusoma program za afya ila nafasi ni chache hasa kwa maskini ambao hawana uwezo wa kwenda kusoma vyuo binafsi kama Bugando, nk
 
Hivi Physics kwenye udaktari inatumika vipi mkuu?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hilo ndio swali la msingi ambalo watu wanatakiwa kulielewa.



Hamna maana yoyote ya kulazimisha mtu lazima asome PCB advance ili asomee udaktari


Na ndio maana hata kwenye sifa huwa wanaangalia sana Chemistry na biology, physics wanataka pass tu
 
Acha kupotosha umma.
 
M
Ila wengi wameingia kwenye udaktari na sua nawafahamu nimesoma nao
Mimi sijui hawa jamaa malalamiko yao yana husu nini,pengine kukwama kwao ndiko kunasababisha wajumhishe kila mtu.
Mdogo wangu kapiga CBG kitambo kile,ni daktari sasa hivi,mwingine naye kapiga hiyohiyo CBG ni chemical engineer yuko kiwanda flani cha dawa.

Sijui wao walisoma BCBG ndio maana wanasema haimuandai mtu kuwa professional wakati maafisa mifigo wengi wamepitia huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…