Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe na kwa viumbe wengine?

Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe na kwa viumbe wengine?

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe kwa viumbe vyote vilivyoumbwa na Mwenyezi Mungu ikiwa ni samaki,miti,mbwa,nyoka,bata,kobe,nk??

Huu ujinga umepitwa na wakati ukifa ndiyo mwisho wa dunia kwa viumbe wote wa Mwenyezi Mungu tangu uumbaji wa ulimwengu huu hakuna aliyewahi kwenda mbinguni wala kukufuka.

Kama kuna kwenda mbinguni au kufufuka kweli basi mzungu na mwarabu wangekuwa walishaomba kufa ili waende huko mbinguni mapema kabla ya Mwafrika.
 
We mzee unafikiri mbinguni hakuna hivo vitu umetaja?
 
We mzee unafikiri mbinguni hakuna hivo vitu umetaja?

Sasa kama vitu hivyo vyote vipo mbinguni kwani watu wasiwepo huko mbinguni hadi wewe uende kama siyo ujinga na kujipa uspecial usiokuwa na maana??

Mbinguni kuwe na nyoka,kuku,bata,miti,mawe,nk wewe mtu puke yako ndiyo usiwepo?una ubongo kweli wewe,hata samaki hawezi kuwaza hicho!!
 
Au mimi ndo sijakuelewa! Mimi nisiwepo kivipi sasa wakati mi nitakuwepo.
 
75:3-4 Qur an . Mungu anasema hivi..

images (56).jpeg

Hilo neno fingertips/fingerprints linatosha kabisa kukufanya ushtuke, ikiwa wewe ni miongoni mwa Wenye Kufikiri
 
Nani kakwanbia hivyo? kwani kwenye Safina ya Nuhu waliokolewa Binadamu tu? viumbe vyote ni sehemu ya utukufu wa Mungu, Binadamu amewekwa kama msimamizi na mtawala wa viumbe vyote.
Ujinga wako ni mkubwa sana na huna ubongo una kamasi,huo usimamizi wa mtu kwa viumbe mwingine ukoje au anaufanya vipi??

Kuna viumbe wa majini je wewe unaishi huko majini hadi uwasimamie?

Kuna viumbe wa porini je wewe unaishi majini ili uwasimamie??

Acha ujinga na akili za kushikiwa muda huo umepitwa na wakati changanya na za kwako sasa.
 
Au mimi ndo sijakuelewa! Mimi nisiwepo kivipi sasa wakati mi nitakuwepo.
Nime kwambia huna ubongo na huwezi kuelewa kwa ujinga ulio nao.

Inakuwaje viumbe ulivyonavyo hapa duniani kwa sasa viwepo mbinguni halafu wewe usiwepo mbinguni eti utakuwepo badae?

Acha kuwa unarukia mada usizo na uwezo nazo kachangie mada za cdm,diamond,manara,zaylisa,nk siyo hizi za kufikirisha ubongo!!
 
Kwa hiyo mkuu mimi ninayesema vipo ndo nithibitishe ila anayesema havipo hapaswi kuthibitisha? Yeye kajuaje kwamba havipo?
Ni akili ndogo tu ulitakiwa kuwa nayo MAMA yako unaamini ni mama yako kwa sababu yupo duniani,unamuona na wewe upo duniani sasa hao viumbe walioko mbinguni ambako hauko, hujawahi kufika wala kuwaona huko unaaminije huo ujinga?unafikiri sawa wewe kweli?
 
Dunia ikiisha viumbe vingine vinabakije? Umeelewa lakini ulichoandika?
Sasa kama dunia itaisha na viumbe havitabaki iweje habari za biblia/quruan na yesu/muhamad uletewe wewe tu binadamu na wazungu/warabu wasiletewe hao viumbe wengine?

Acha ujinga umekuwa mtu mzima sasa
 
Back
Top Bottom