Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe na kwa viumbe wengine?

Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe na kwa viumbe wengine?

Sasa kama dunia itaisha na viumbe havitabaki iweje habari za biblia/quruan na yesu/muhamad uletewe wewe tu binadamu na wazungu/warabu wasiletewe hao viumbe wengine?

Acha ujinga umekuwa mtu mzima sasa
Wewe ndiyo, mjinga nani kakuambia kuwa hao viumbe wengine hawajapewa habari za mwisho wa Dunia?

Pia acha kujifananisha na hayawani, naoni umefikia hatua mpaka unatamani uwe wao! Hayawani wahedi!
 
Wewe ndiyo, mjinga nani kakuambia kuwa hao viumbe wengine hawajapewa habari za mwisho wa Dunia?

Pia acha kujifananisha na hayawani, naoni umefikia hatua mpaka unatamani uwe wao! Hayawani wahedi!
Yaani uwe na akili kwa kuamini samaki,nyoka,tembo,miti,nk navyo vina makanisa,misikiti,masheikh,biblia,quruan,nk halafu bado unasema una akili,kweli??

Samaki,kuku,bata,miti,nk kwa akili yako pia walitawaliwa kama wewe ulivyotawaliwa na kuletewa biblia na quruan chini ya uislam na ukristo,how??

Kweli wajinga waliobaki duniani ni wafia dini wa kiafrika!!
 
Hapo unatakiwa wewe unaesema vipo ndio uthibitishe ulishaenda
Mkuu kama ni kesi na huyo anayesema havipo anatakiwa kututhibitishia pia.

Yaani aeleze havipo kwa sababu ya uthibitisho huu: kafika kashuhudia na kuchukua vielelezo vya kutokuwepo kwake.

Kusema tu havipo haitoshi, kwani ni sehemu gani aliyosimama akaviangalia na akashindwa kuviona?

Kajiingiza kwenye mada ngumu hii.
 
Huo ndio ukweli, tunadanganyana tu na wengine kugeuzwa vitega uchumi kwa wajanja wachache wanaotuaminisha vitu vya kusadikika.
 
Mkuu kama ni kesi na huyo anayesema havipo anatakiwa kututhibitishia pia.

Yaani aeleze havipo kwa sababu ya uthibitisho huu: kafika kashuhudia na kuchukua vielelezo vya kutokuwepo kwake.

Kajiingiza kwenye mada ngumu hii.
Kwanza mbinguni ni wapi maana huwezi kujadili sehemu ambayo huijui ipoje ukaipa jina
 
Kwanza mbinguni ni wapi maana huwezi kujadili sehemu ambayo huijui ipoje ukaipa jina
Sawa kabisa.
Muanzisha mada alitakiwa atueleze kuwa mbinguni kunakosemwa kupo, yeye kaenda kapakosa na vielelezo ni hivi hapa.
 
Sawa kabisa.
Muanzisha mada alitakiwa atueleze kuwa mbinguni kunakosemwa kupo, yeye kaenda kapakosa na vielelezo ni hivi hapa.
Wanaosema mbinguni kupo ndio waelezee ni wapi huwezi kwenda sehemu bila kujua njia zake
 
Wanaosema mbinguni kupo ndio waeleaee ni wapi huwezi kwenda sehemu bila kujua njia zake
Hakuna mwingine aliyesema mbinguni kupo isipokuwa ni mtoa mada.

Kaja na kanusho la kusema vitu flani flani havipo mbinguni na habari zingine kuhusu mbinguni.

Hapo kimsingi yeye ndiye aliyetakiwa kuja na uthibitisho kuwa fulani aliniambia kuna mbinguni, sasa nimeenda au niliposimama nimeshuhudia kuwa mbinguni hakupo kwa vielelezo hivi hapa, full stop.

Ni wenda wazimu kuanza kukanusha taarifa ambazo hazina vielelezo vya mtoa taarifa.
 
Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe kwa viumbe vyote vilivyoumbwa na Mwenyezi Mungu ikiwa ni samaki,miti,mbwa,nyoka,bata,kobe,nk??
Duh, greater thinker unajiona una thamani sawa na mbwa, kobe na nyoka. Ukienda mbinguni na mbwa uende nao? Ama kweli shetani amezitia giza akili za wengi.
2 Wakorintho 4:4
Hao hawaamini kwa sababu yule mungu wa ulimwengu huu[shetani] amezitia giza akili zao wasipate kuuona wazi mwanga wa Habari Njema ya utukufu wa Kristo, ambaye ni mfano kamili wa Mungu.
 
...
 

Attachments

  • images - 2025-04-07T230052.879.jpeg
    images - 2025-04-07T230052.879.jpeg
    11.8 KB · Views: 22
  • images - 2025-03-15T220722.147.jpeg
    images - 2025-03-15T220722.147.jpeg
    39.8 KB · Views: 22
  • images - 2025-03-15T215638.823.jpeg
    images - 2025-03-15T215638.823.jpeg
    21.4 KB · Views: 23
  • images - 2025-03-15T215904.856.jpeg
    images - 2025-03-15T215904.856.jpeg
    12.7 KB · Views: 21
  • images - 2025-03-15T220952.307.jpeg
    images - 2025-03-15T220952.307.jpeg
    10.9 KB · Views: 25
  • images - 2025-03-15T215338.447.jpeg
    images - 2025-03-15T215338.447.jpeg
    16 KB · Views: 19
  • images - 2025-03-15T215427.402.jpeg
    images - 2025-03-15T215427.402.jpeg
    35.2 KB · Views: 25
  • images - 2025-03-15T215323.875.jpeg
    images - 2025-03-15T215323.875.jpeg
    29.9 KB · Views: 24
  • images - 2025-03-15T215317.529.jpeg
    images - 2025-03-15T215317.529.jpeg
    48.9 KB · Views: 22
Hakuna mwingine aliyesema mbinguni kupo isipokuwa ni mtoa mada.

Kaja na kanusho la kusema vitu flani flani havipo mbinguni na habari zingine kuhusu mbinguni.

Hapo kimsingi yeye ndiye aliyetakiwa kuja na uthibitisho kuwa fulani aliniambia kuna mbinguni, sasa nimeenda au niliposimama nimeshuhudia kuwa mbinguni hakupo kwa vielelezo hivi hapa, full stop.

Ni wenda wazimu kuanza kukanusha taarifa ambazo hazina vielelezo vya mtoa taarifa.
Hata Wewe umemuambia mtoa mada athibitishe kwamba haipo wewe uliiona na kama uliiona njia ni ipo au unasahau hata unayoyaandika mzee
 
Hata Wewe umemuambia mtoa mada athibitishe kwamba haipo wewe uliiona na kama uliiona njia ni ipo au unasahau hata unayoyaandika mzee
Kuthibitisha ni kuhakikisha ukweli wa kile unachokisema.

Ulichodai mimi kukisema ni kweli nimekisema.

Pia nimeuliza katika comment tofauti kuwa: mhusika kaja na statement za kusema kuwa 'mbinguni hakupo'.

Ndiyo nikaja na maelezo hayo kwamba atuthibitishie kutokuwepo kwake, maana maneno hayo anayasema kwa kukanusha maelezo ya mtu fulani aliyedai kuna mbingu.

Sisi wasikilizaji tunatakiwa kuelezwa kwa kirefu na mleta mada kuwa: ...'mtu fulani aliniambia habari za kuwepo kwa mbinguni, sasa mimi nimesimama hapa ama nimeenda na kuangalia mahali aliposema kuna mbinguni lakini nimepakosa na ushahidi wangu ni huu hapa'.

Logic hapa ni namna mkanushaji anavyotakiwa kuthibitisha ukanusho wake.

Kueleza uwepo wa jambo hunatakiwa vielelezo na pia kukanusha uwepo wa jambo kunatakiwa uthibitisho pia.

Siyo kwamba unapokanusha na kusema 'hakuna', basi unakuwa umeaminika moja kwa moja.
 
Kuthibitisha ni kuhakikisha ukweli wa unachokisema.
Ulichodai mimi kukisema ni kweli nimekisema.
Pia nimeuliza katika comment tofauti kuwa: mhusika kaja na statement za kusema kuwa 'mbinguni hakupo'.

Ndiyo nikaja na maelezo hayo kwamba atuthibitishie kutokuwepo kwake, maana maneno hayo anayasema kwa kukanusha maelezo ya mtu fulani aliyedai kuna mbingu.

Sisi wasikilizaji tunatakiwa kuelezwa kwa kirefu na mleta mada kuwa: ...'mtu fulani aliniambia habari za kuwepo kwa mbinguni, sasa mimi nimesimama hapa ama nimeenda na kuangalia mahali aliposema kuna mbinguni lakini nimepakosa na ushahidi wangu ni huu hapa'.

Logic hapa ni namna mkanushaji anavyotakiwa kuthibitisha ukanusho wake.
Kueleza uwepo wa jambo hunatakiwa vielelezo na pia kukanusha uwepo wa jambo kunatakiwa uthibitisho pia.

Siyo kwamba unaposema hakuna, basi unakuwa umeaminika moja kwa moja.
We unakijua alichokikanusha
 
Ujinga wako ni mkubwa sana na huna ubongo una kamasi,huo usimamizi wa mtu kwa viumbe mwingine ukoje au anaufanya vipi??

Kuna viumbe wa majini je wewe unaishi huko majini hadi uwasimamie?

Kuna viumbe wa porini je wewe unaishi majini ili uwasimamie??

Acha ujinga na akili za kushikiwa muda huo umepitwa na wakati changanya na za kwako sasa.
Achana na upumbavu wewe! usimamizi wa wanyama pori na viumbe wa majini ni sehemu ya huo utawala.
 
Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe kwa viumbe vyote vilivyoumbwa na Mwenyezi Mungu ikiwa ni samaki,miti,mbwa,nyoka,bata,kobe,nk??

Huu ujinga umepitwa na wakati ukifa ndiyo mwisho wa dunia kwa viumbe wote wa Mwenyezi Mungu tangu uumbaji wa ulimwengu huu hakuna aliyewahi kwenda mbinguni wala kukufuka.

Kama kuna kwenda mbinguni au kufufuka kweli basi mzungu na mwarabu wangekuwa walishaomba kufa ili waende huko mbinguni mapema kabla ya Mwafrika.
Hakuna kitu kama hicho bali kamba za kuzinguana na kuibiana. Kama unabishia hili, jiulize. Kwanini mtu akizikwa huambiwa kuwa kaburi ni makazi yake ya milele?
 
Back
Top Bottom