HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
- Thread starter
- #61
Bwana wako yesu au muhad ndiyo aliwapa hiuo habari kupitia makanisa na misikiti?Wewe ndiyo, mjinga nani kakuambia kuwa hao viumbe wengine hawajapewa habari za mwisho wa Dunia?
Pia acha kujifananisha na hayawani, naoni umefikia hatua mpaka unatamani uwe wao! Hayawani wahedi!
Mimi ninayedadisi kwa indani na wewe uliyekariri nani hayawani?