Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe na kwa viumbe wengine?

Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe na kwa viumbe wengine?

Nani kakwanbia hivyo? kwani kwenye Safina ya Nuhu waliokolewa Binadamu tu? viumbe vyote ni sehemu ya utukufu wa Mungu, Binadamu amewekwa kama msimamizi na mtawala wa viumbe vyote.
Kwahio viumbe navyo vinaenda mbinguni
 
Jisemee mwenyewe usiwasemee wengine wewe vipi au unawashwa?

Huwa mnataka muandikie nyie tuuu ujinga wenu mliokaririshwa na uliowagawa makundimakundi kwa kutojitambua??
sio bure we utakuwa una mimba changa wewe
 
Nime kwambia huna ubongo na huwezi kuelewa kwa ujinga ulio nao.

Inakuwaje viumbe ulivyonavyo hapa duniani kwa sasa viwepo mbinguni halafu wewe usiwepo mbinguni eti utakuwepo badae?


Acha kuwa unarukia mada usizo na uwezo nazo kachangie mada za cdm,diamond,manara,zaylisa,nk siyo hizi za kufikirisha ubongo!!
Hivi unajua moja ya sifa ya mtu asiye na akili ni kwamba huwa anajiona ye bora kiakili kuliko wengine?

We una akili kubwa gani kiasi kwamba unaweza kuweka mada wengine wasiiweze kuijadili, kuwa humble acha ujuaji.

Turudi kwenye mada sasa, mi sijasema hivo viumbe kwa sasa tayari vipo mbinguni then mi ndo niende baadae. Ila ni kwamba pale ambapo tayari watu wataanza kwenda mbinguni ndipo hapo mbingu itaandaliwa na mapambo ya bustani miti na wanyama.
 
Ni akili ndogo tu ulitakiwa kuwa nayo MAMA yako unaamini ni mama yako kwa sababu yupo duniani,unamuona na wewe upo duniani sasa hao viumbe walioko mbinguni ambako hauko, hujawahi kufika wala kuwaona huko unaaminije huo ujinga?unafikiri sawa wewe kweli?
Mzeebaba punguza munkari, jadili kawaida acha kuhamaki. We nani kakwambia muda huu mbinguni kuna wanyama hao uliowataja?
 
Mkuu kama ni kesi na huyo anayesema havipo anatakiwa kututhibitishia pia.

Yaani aeleze havipo kwa sababu ya uthibitisho huu: kafika kashuhudia na kuchukua vielelezo vya kutokuwepo kwake.

Kusema tu havipo haitoshi, kwani ni sehemu gani aliyosimama akaviangalia na akashindwa kuviona?

Kajiingiza kwenye mada ngumu hii.
Who allege must proof.
 
Sasa kama dunia itaisha na viumbe havitabaki iweje habari za biblia/quruan na yesu/muhamad uletewe wewe tu binadamu na wazungu/warabu wasiletewe hao viumbe wengine?

Acha ujinga umekuwa mtu mzima sasa

"Acha ujinga umekuwa mtu mzima sasa"
Umenichekesha balaa wamwambia kanakwamba wamfahamu





😆😆😆😆😆😆
 
Sasa Ndezi au Mbu unataka waende wakafanye nini?
 
Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe kwa viumbe vyote vilivyoumbwa na Mwenyezi Mungu ikiwa ni samaki,miti,mbwa,nyoka,bata,kobe,nk??

Huu ujinga umepitwa na wakati ukifa ndiyo mwisho wa dunia kwa viumbe wote wa Mwenyezi Mungu tangu uumbaji wa ulimwengu huu hakuna aliyewahi kwenda mbinguni wala kukufuka.

Kama kuna kwenda mbinguni au kufufuka kweli basi mzungu na mwarabu wangekuwa walishaomba kufa ili waende huko mbinguni mapema kabla ya Mwafrika.
Kwani Samaki ulivyoongea nao walikwambia hawapo mbinguni ?
 
Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe kwa viumbe vyote vilivyoumbwa na Mwenyezi Mungu ikiwa ni samaki,miti,mbwa,nyoka,bata,kobe,nk??

Huu ujinga umepitwa na wakati ukifa ndiyo mwisho wa dunia kwa viumbe wote wa Mwenyezi Mungu tangu uumbaji wa ulimwengu huu hakuna aliyewahi kwenda mbinguni wala kukufuka.

Kama kuna kwenda mbinguni au kufufuka kweli basi mzungu na mwarabu wangekuwa walishaomba kufa ili waende huko mbinguni mapema kabla ya Mwafrika.

viumbe vyote navyo vinasubiria kufunuliwa kwa wana wa Mungu.

katika mbingu mpya na nchi mpya tutakuwa na viumbe wote. Uadui hautakwepo. Sima na nyumba watakaa pamoja, Swala na chui watarukaruka pamoja kwa furaha, halikadhalika paka na panya. Ni Raha sana, na furaha isioneneka

“Kwa maana viumbe vyote pia vinatazamia kwa shauku nyingi kufunuliwa kwa wana wa Mungu."
— Warumi 8:19 (Biblia Takatifu)

“Mbwa-mwitu na mwana-kondoo watalisha pamoja, na simba atakula majani kama ng'ombe; na mavumbi yatakuwa chakula cha nyoka. Hawatadhuru wala kuharibu katika mlima wangu mtakatifu wote, asema Bwana."
— Isaya 65:25 (Biblia Takatifu)
 
Nani kakwanbia hivyo? kwani kwenye Safina ya Nuhu waliokolewa Binadamu tu? viumbe vyote ni sehemu ya utukufu wa Mungu, Binadamu amewekwa kama msimamizi na mtawala wa viumbe vyote.
Kwahiyo wewe ndiyo unawasimamia na kuwaongoza simba,samaki,ndege,nk?acha ujuha wa kukariri ujinga
 
Wanyama na viumbe ulivyovitaja hapo..viliumbwa ili vitawaliwe na mwanadamu, Ila mwanadamu aliumbwa atawaliwe na Mungu. Ukiielewa hii sentesi hautakuwa na maswali zaidi.
 
Kwahio viumbe navyo vinaenda mbinguni
Mwanzo 9:4-6
4 Bali nyama pamoja na uhai, yaani, damu yake, msile.

5 Hakika damu yenu ya uhai wenu nitaitaka; na kwa mkono wa kila mnyama nitaitaka; na kwa mkono wa mwanadamu, kwa mkono wa ndugu ya mtu nitataka uhai wa mwanadamu.

6 Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu.
 
Kila kitu chenye uhai kina Mungu wake (chanzo chake) tuliambiwa binadamu wana mbinguni, hata vitu vingine vina mbingu yao. Mf. Huenda paka wana paka wao aliyefia msalabani ili kuwakomboa. Siku ya mwisho wataenda kwenye mbingu iliyoandaliwa na huyo paka. Ila ujue zote ni "hadithi " tu.
 
We mzee unafikiri mbinguni hakuna hivo vitu umetaja?
Ukisikia ujuha na uabunwasi ndiyo huu wa kwako kabla ya yote kwa ujinga wako kuna mbinguni?

Aliyekulisha ujinga i.e:mkoloni kuwa kuna mbinguni ktk dini kupitia kanisa ndiyo huyohuyo aliyekufundisha ktk jiografia kuwa dunia ni duara na inaelea,sasa huko mbinguni ni wapi nje ya dunia au ndani ya dunia?

Acha ujinga wa kujilazimisha wakati una nafasi na muda wa kurejea na kudadisi ujinga uliolishwa ili kupata ukweli
 
Back
Top Bottom