HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
We mzee unafikiri mbinguni hakuna hivo vitu umetaja?Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe kwa viumbe vyote vilivyoumbwa na Mwenyezi Mungu ikiwa ni samaki,miti,mbwa,nyoka,bata,kobe,nk??
Huu ujinga umepitwa na wakati ukifa ndiyo mwisho wa dunia kwa viumbe wote wa Mwenyezi Mungu tangu uumbaji wa ulimwengu huu hakuna aliyewahi kwenda mbinguni wala kukufuka.
Kama kuna kwenda mbinguni au kufufuka kweli basi mzungu na mwarabu wangekuwa walishaomba kufa ili waende huko mbinguni mapema kabla ya Mwafrika.
Mbinguni we ulishaenda ukavikutaWe mzee unafikiri mbinguni hakuna hivo vitu imetaja?
🤣🤣Yeye kaenda hadi kajua havipo hivo?Mbinguni we ulishaend a ukavikuta
Sawa tumeusoma uzi wako
Hapo unatakiwa wewe unaesema vipo ndio uthibitishe ulishaenda🤣🤣Yeye kaenda hadi kajua havipo hivo?
We mzee unafikiri mbinguni hakuna hivo vitu umetaja?
Au mimi ndo sijakuelewa! Mimi nisiwepo kivipi sasa wakati mi nitakuwepo.Sasa kama vitu hivyo vyote vipo mbinguni kwani watu wasiwepo huko mbinguni hadi wewe uende kama siyo ujinga na kujipa uspecial usiokuwa na maana??
Mbinguni kuwe na nyoka,kuku,bata,miti,mawe,nk wewe mtu puke yako ndiyo usiwepo?una ubongo kweli wewe,hata samaki hawezi kuwaza hicho!!
Ujinga wako ni mkubwa sana na huna ubongo una kamasi,huo usimamizi wa mtu kwa viumbe mwingine ukoje au anaufanya vipi??Nani kakwanbia hivyo? kwani kwenye Safina ya Nuhu waliokolewa Binadamu tu? viumbe vyote ni sehemu ya utukufu wa Mungu, Binadamu amewekwa kama msimamizi na mtawala wa viumbe vyote.
Kwa hiyo mkuu mimi ninayesema vipo ndo nithibitishe ila anayesema havipo hapaswi kuthibitisha? Yeye kajuaje kwamba havipo?Hapo unatakiwa wewe unaesema vipo ndio uthibitishe ulishaenda
Nime kwambia huna ubongo na huwezi kuelewa kwa ujinga ulio nao.Au mimi ndo sijakuelewa! Mimi nisiwepo kivipi sasa wakati mi nitakuwepo.
Ni akili ndogo tu ulitakiwa kuwa nayo MAMA yako unaamini ni mama yako kwa sababu yupo duniani,unamuona na wewe upo duniani sasa hao viumbe walioko mbinguni ambako hauko, hujawahi kufika wala kuwaona huko unaaminije huo ujinga?unafikiri sawa wewe kweli?Kwa hiyo mkuu mimi ninayesema vipo ndo nithibitishe ila anayesema havipo hapaswi kuthibitisha? Yeye kajuaje kwamba havipo?
Sasa kama dunia itaisha na viumbe havitabaki iweje habari za biblia/quruan na yesu/muhamad uletewe wewe tu binadamu na wazungu/warabu wasiletewe hao viumbe wengine?Dunia ikiisha viumbe vingine vinabakije? Umeelewa lakini ulichoandika?