Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,633
- 5,615
Wewe ndiyo, mjinga nani kakuambia kuwa hao viumbe wengine hawajapewa habari za mwisho wa Dunia?Sasa kama dunia itaisha na viumbe havitabaki iweje habari za biblia/quruan na yesu/muhamad uletewe wewe tu binadamu na wazungu/warabu wasiletewe hao viumbe wengine?
Acha ujinga umekuwa mtu mzima sasa
Yaani uwe na akili kwa kuamini samaki,nyoka,tembo,miti,nk navyo vina makanisa,misikiti,masheikh,biblia,quruan,nk halafu bado unasema una akili,kweli??Wewe ndiyo, mjinga nani kakuambia kuwa hao viumbe wengine hawajapewa habari za mwisho wa Dunia?
Pia acha kujifananisha na hayawani, naoni umefikia hatua mpaka unatamani uwe wao! Hayawani wahedi!
Mkuu kama ni kesi na huyo anayesema havipo anatakiwa kututhibitishia pia.Hapo unatakiwa wewe unaesema vipo ndio uthibitishe ulishaenda
Kwanza mbinguni ni wapi maana huwezi kujadili sehemu ambayo huijui ipoje ukaipa jinaMkuu kama ni kesi na huyo anayesema havipo anatakiwa kututhibitishia pia.
Yaani aeleze havipo kwa sababu ya uthibitisho huu: kafika kashuhudia na kuchukua vielelezo vya kutokuwepo kwake.
Kajiingiza kwenye mada ngumu hii.
Sawa kabisa.Kwanza mbinguni ni wapi maana huwezi kujadili sehemu ambayo huijui ipoje ukaipa jina
Wanaosema mbinguni kupo ndio waelezee ni wapi huwezi kwenda sehemu bila kujua njia zakeSawa kabisa.
Muanzisha mada alitakiwa atueleze kuwa mbinguni kunakosemwa kupo, yeye kaenda kapakosa na vielelezo ni hivi hapa.
Hakuna mwingine aliyesema mbinguni kupo isipokuwa ni mtoa mada.Wanaosema mbinguni kupo ndio waeleaee ni wapi huwezi kwenda sehemu bila kujua njia zake
Duh, greater thinker unajiona una thamani sawa na mbwa, kobe na nyoka. Ukienda mbinguni na mbwa uende nao? Ama kweli shetani amezitia giza akili za wengi.Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe kwa viumbe vyote vilivyoumbwa na Mwenyezi Mungu ikiwa ni samaki,miti,mbwa,nyoka,bata,kobe,nk??
Hata Wewe umemuambia mtoa mada athibitishe kwamba haipo wewe uliiona na kama uliiona njia ni ipo au unasahau hata unayoyaandika mzeeHakuna mwingine aliyesema mbinguni kupo isipokuwa ni mtoa mada.
Kaja na kanusho la kusema vitu flani flani havipo mbinguni na habari zingine kuhusu mbinguni.
Hapo kimsingi yeye ndiye aliyetakiwa kuja na uthibitisho kuwa fulani aliniambia kuna mbinguni, sasa nimeenda au niliposimama nimeshuhudia kuwa mbinguni hakupo kwa vielelezo hivi hapa, full stop.
Ni wenda wazimu kuanza kukanusha taarifa ambazo hazina vielelezo vya mtoa taarifa.
Kuthibitisha ni kuhakikisha ukweli wa kile unachokisema.Hata Wewe umemuambia mtoa mada athibitishe kwamba haipo wewe uliiona na kama uliiona njia ni ipo au unasahau hata unayoyaandika mzee
We unakijua alichokikanushaKuthibitisha ni kuhakikisha ukweli wa unachokisema.
Ulichodai mimi kukisema ni kweli nimekisema.
Pia nimeuliza katika comment tofauti kuwa: mhusika kaja na statement za kusema kuwa 'mbinguni hakupo'.
Ndiyo nikaja na maelezo hayo kwamba atuthibitishie kutokuwepo kwake, maana maneno hayo anayasema kwa kukanusha maelezo ya mtu fulani aliyedai kuna mbingu.
Sisi wasikilizaji tunatakiwa kuelezwa kwa kirefu na mleta mada kuwa: ...'mtu fulani aliniambia habari za kuwepo kwa mbinguni, sasa mimi nimesimama hapa ama nimeenda na kuangalia mahali aliposema kuna mbinguni lakini nimepakosa na ushahidi wangu ni huu hapa'.
Logic hapa ni namna mkanushaji anavyotakiwa kuthibitisha ukanusho wake.
Kueleza uwepo wa jambo hunatakiwa vielelezo na pia kukanusha uwepo wa jambo kunatakiwa uthibitisho pia.
Siyo kwamba unaposema hakuna, basi unakuwa umeaminika moja kwa moja.
Ninakijua.We unakijua alichokikanusha
Amekanusha niniNinakijua.
Achana na upumbavu wewe! usimamizi wa wanyama pori na viumbe wa majini ni sehemu ya huo utawala.Ujinga wako ni mkubwa sana na huna ubongo una kamasi,huo usimamizi wa mtu kwa viumbe mwingine ukoje au anaufanya vipi??
Kuna viumbe wa majini je wewe unaishi huko majini hadi uwasimamie?
Kuna viumbe wa porini je wewe unaishi majini ili uwasimamie??
Acha ujinga na akili za kushikiwa muda huo umepitwa na wakati changanya na za kwako sasa.
Hakuna kitu kama hicho bali kamba za kuzinguana na kuibiana. Kama unabishia hili, jiulize. Kwanini mtu akizikwa huambiwa kuwa kaburi ni makazi yake ya milele?Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe kwa viumbe vyote vilivyoumbwa na Mwenyezi Mungu ikiwa ni samaki,miti,mbwa,nyoka,bata,kobe,nk??
Huu ujinga umepitwa na wakati ukifa ndiyo mwisho wa dunia kwa viumbe wote wa Mwenyezi Mungu tangu uumbaji wa ulimwengu huu hakuna aliyewahi kwenda mbinguni wala kukufuka.
Kama kuna kwenda mbinguni au kufufuka kweli basi mzungu na mwarabu wangekuwa walishaomba kufa ili waende huko mbinguni mapema kabla ya Mwafrika.