Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe na kwa viumbe wengine?

Wewe ndiyo, mjinga nani kakuambia kuwa hao viumbe wengine hawajapewa habari za mwisho wa Dunia?

Pia acha kujifananisha na hayawani, naoni umefikia hatua mpaka unatamani uwe wao! Hayawani wahedi!
Bwana wako yesu au muhad ndiyo aliwapa hiuo habari kupitia makanisa na misikiti?

Mimi ninayedadisi kwa indani na wewe uliyekariri nani hayawani?
 
Mimi tena!
Mweleze mtoa mada akueleze anaowakanusha waliomwambia nini juu ya mbingu na kiama anavyovikanusha yeye.
Hakuna mbinguni wajinga ndiyo wanaamini kinyume,tafakari na kuamini moja la kweli kama aliyekulisha ujinga kuna mbinguni ni huyohuyo aliyekueleza dunia ni duara inaelea hewani je mbinguni ni wapi nje ya dunia au ndani ya dunia??
 
Haya mambo ni ya kufikirika tu
 
Tatizo lako we dogo huwezi kujadili bila matusi. Haya baki na jinsi unavyoamini. Mi siwezi kujibizana na wewe ambaye tayari unaonyesha huna adabu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…