Kama kupata hela ni rahisi kiasi hicho, watu wote wangekuwa mabilionea, Shtuka!

Betting ni starehe


Kwa mfano mimi naiwinda hiyo bilioni 1.3 ya jackpot, naiwinda kwa starehe, siyo nasubilia kutoboa maisha hapana.

ila hii ya vijana ishakua tatizo la kiakili , vijana wapo kwende mode ya ugonjwa sasa
Nilipogundua betting ni jambo gumu kwenye yale maguruguru. Kumbe mchina huwa analiset kuwa mpaka limeze hela kiasi fulani ndo zilizobaki anaachiwa mchezaji. Ndo maana tunaliwa kizembe kila kukikcha.
 
Ukweli mchungu. Lol

Mi nina swali kwao wazee wa kubeti hivi wakishapata hizo hela za huwa muhindi wanafanyia kitu cha kueleweka kweli au ndio wanaishia kuzizungusha hapo hapo kwa Kanjibhai mpaka zinarudi tena kwa mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…