Kama kupata hela ni rahisi kiasi hicho, watu wote wangekuwa mabilionea, Shtuka!

Kama kupata hela ni rahisi kiasi hicho, watu wote wangekuwa mabilionea, Shtuka!

View attachment 3618361

Kwa mfano mimi naiwinda hiyo bilioni 1.3 ya jackpot, naiwinda kwa starehe, siyo nasubilia kutoboa maisha hapana.

Nilipogundua betting ni jambo gumu kwenye yale maguruguru. Kumbe mchina huwa analiset kuwa mpaka limeze hela kiasi fulani ndo zilizobaki anaachiwa mchezaji. Ndo maana tunaliwa kizembe kila kukikcha.
😅😅 winda pesa ya bia na sio kutoboa bwashee
 
Betting ni uwendawazimu !

Hio ni michezo ya matajiri, kajamaa kapo geto kanadaiwa hela ya umeme, hakajui kale nini .... kodi inaisha hakapokei simu ya landlord, alafu kamebakiwa na 5k kanabeti kashinde 5m ! Huu ni ujinga wa kiwango cha reli ! Betting imewekwa ili wanaochezesha wakukule wewe mchezaji
 
Ila bwashee mbona timu zinaonekana unasemaje wameweka ili watukule😅
 
Kitu gani hakina madhara usipo kitumia kwa uangalifu?
Mkuu maswali yako ni magumu lakini kama ukifanikiwa kuikimbia pombe na betting ni bora za
Pombe sikimbii bwashee, siwezi kukimbia bia zilivyo tamu, wewe kunywa maji wanywa pombe tukifa usisahau kufunga madirisha ya humu duniani
😂😂😂
 
Back
Top Bottom