pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,524
- 4,928
Betting siyo stareheBetting ni starehe ila hii ya vijana ishakua tatizo la kiakili , vijana wapo kwende mode ya ugonjwa sasa
Ni uwekezaji wa kubahatisha,tofauti na uwekezaji mwingine hii probably ya kupata approximately equal to zero