Mkuu mbona unalia? Mimi nilitoa maoni yangu tu.Wakenya siwaelewi mnashangilia nini wakati hamjafanya total lockdown na maambukizi ndani ya Nairobi, Mombasa na county nyingine zilizokumbwa na ugonjwa yanaendelea kuongezeka.
Hivi kuzuia watu wasitembee usiku ina maanisha mchana watu hawawezi kuambukizana?
Endeleeni kujifariji tu.
Mimi naona Uganda na Rwanda ndio wanaweza kuwa na moral authority ya kutucheka au kutubeza watanzania sababu wao wamefanya total lockdown, na Uganda kwa taarifa zao hakuna maambukizi mapaya ya ndani kwa ndani (no local transmission of the disease).
Hahaha. I have already searched and has not published any academic paper in a peer reviewed journalMake use of search engine!
Kilichonishangaza Mimi mpaka Leo ni kwanini toka vifaa vya upimaji vya msaada toka China (Jack MA) vifike ndio maambukizi yakalipuka tuu ghafla.Zile rapid test kits za Jack Ma tayari zinakataliwa! efficiency yake ni 5%!
India finds Chinese coronavirus testing kits only 5% accurate
Kumbuka nao walitumiwa kama sie!
China dispatches 6.5 lakh medical kits to India to fight coronavirus
Na wakaongezewa
Three lakh more Rapid Antibody Test kits sent to India from China: Envoy
Kilichonishangaza Mimi mpaka Leo ni kwanini toka vifaa vya upimaji vya msaada toka China (Jack MA) vifike ndio maambukizi yakalipuka tuu ghafla.
Mmhh kitu hatukijui nahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unashangaza sana, Geza Ulole amekuwekea "links" nyingi sana zenye kuonyesha nchi nyingi tena nchi zenye maendeleo makubwa ya sayansi zikisema kwamba hizo "test kits" sio nzuri, bado unasema ni nchi moja pekee inalalamika, unataka tukupime mkojo ili kichwa chako kiwe sawa?Kitu kimenifanya nikose kuamini Mapadlocks anachosema ni kuwa Karibia kila nchi ya Afrika ikiwemo Kenya, zinatumia reagents na swabs na testing kits za WHO. Sasa itakuwaje, kati ya nchi zaidi ya hamsini ambazo zinapewa testing kits na WHO ni nchi moja tu inacomplain. Kwanza nchi ambayo ni kichwa ngumu imekataa kufanya hata partial lockdown?
aiseee dahh...ni sheedah😂
View attachment 1438728
Kitu kimenifanya nikose kuamini Mapadlocks anachosema ni kuwa Karibia kila nchi ya Afrika ikiwemo Kenya, zinatumia reagents na swabs na testing kits za WHO. Sasa itakuwaje, kati ya nchi zaidi ya hamsini ambazo zinapewa testing kits na WHO ni nchi moja tu inacomplain. Kwanza nchi ambayo ni kichwa ngumu imekataa kufanya hata partial lockdown?
Angalia Rwanda na Uganda alafu urudi tenaCc tumekataa lockdown tunakula Bata tu na ninyi mliofata njia kwa kuiga wazungu muna afadhal gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata darasani wenye akili huwa ni wachache, unashangaa nchi nyingine kutocomplain?Kitu kimenifanya nikose kuamini anachosema ni kuwa Karibia kila nchi ya Afrika ikiwemo Kenya, zinatumia reagents na swabs na testing kits za WHO. Sasa itakuwaje, kati ya nchi zaidi ya hamsini ambazo zinapewa testing kits na WHO ni nchi moja tu inacomplain. Kwanza nchi ambayo ni kichwa ngumu imekataa kufanya hata partial lockdown?
Kampira uhuru wa habari ni upi na kwanani akisema ndio uhuru wa habari?Ingetokea Kenya mngesifia na kusema Kenya kuna Uhuru wa habari na uwazi.
Tatizo hili si la nchi moja ni la Dunia, hivyo kiongozi mwenye mapenzi mema na wanadamu wenzake anapugundua tatizo au suluhu anatangaza kwa ajili ya kuwanusuru na wengine.Rais wa Madagasca katangaza dawa ya Cov19,kwa hiyo kajishusha kwa sababu hajapitia WHO.This is ludacris!
You shouldn't discredit your institutions in public like that before a comprehensive and conclusive investigation.
Kwa hivyo nyie ndio werevu, wengine wote ni wajinga?Mkuu hata darasani wenye akili huwa ni wachache, unashangaa nchi nyingine kutocomplain?
Nadhani tulitakiwa kujiuliza kuanzia hapa tulipoletewa hz vitu na alibaba. Kupokea hv vifaa na kuanza kuvitumia ndo tulipopuyangaZile rapid test kits za Jack Ma tayari zinakataliwa! efficiency yake ni 5%!
India finds Chinese coronavirus testing kits only 5% accurate
Kumbuka nao walitumiwa kama sie!
China dispatches 6.5 lakh medical kits to India to fight coronavirus
Na wakaongezewa
Three lakh more Rapid Antibody Test kits sent to India from China: Envoy
Bila shaka kwa Africa ni sisi tu maana hata huko duniani kuna baadhi ya nchi zimesha complain.Kwa hivyo nyie ndio werevu, wengine wote ni wajinga?
Magufuli has messed up. Anatafuta pa kutokea lakini this time mtego wa panya umenasa panya. Hamna pa kutokea. Hata WHO wamekashifu magufuli for lacklustre performance.
Hivi nani aliyekuambia kwamba hao waliozikwa sio miongoni mwa hao 16 walioripotiwa na Serikali? Hivi ni wangapi waliozikwa huko Kenya na tumeonyeshwa video zao wakizikwa?, acha kulazimisha mambo yafanyike vile upendavyo.Kampira uhuru wa habari ni upi na kwanani akisema ndio uhuru wa habari?
hao wenye ndugu wanaotuletea na picha za ndugu zao wakizikwa wanakataliwa kuongezwa katika Idadi ya waliokumbwa ndi Uhuru, leo ,tasema BBC asitafute au kupewa Habari watu wakiozikwa ndugu zao?
Hakuna cha mwerevu wala mjinga, hili ni tatizo la kidunia ni lazima kupeana habari kwa aina yoyote ya ugunduzi ili kusaidia katika haya mapambanoKwa hivyo nyie ndio werevu, wengine wote ni wajinga?
Duh! Ikiwa India wamepewa mzigo m'bovu itakuaje kwa Tanzania?Anayosema Raisi inawezekana yakawa na logic.
Ndio. Usisahau uchaguzi mkuu Tanzania ni mwaka huu. Kwa hivyo Magufuli lazima aonyeshe kuwa Corona sio tishio ili achaguliwe tena. Trump pia uchaguzi wake ni mwaka huu ndio maana hata yeye ana underplay the seriousness of corona ili achaguliwe tena. Hawa wanasiasa lazima waonyeshe kuwa corona sio tatizo for their own political survival.Inawezekana unachosema kikawa kweli maana Brazil walikaidi kama Tanzania, imewatokea puani rais wao ameshindwa hajui la kufanya, hivyo Tanzania ikidunda kama Brazil, Magufuli anaweza akalaumiwa sana na ikawa anguko la CCM rasmi.
Kwa hivyo lazima mlango wa kutokea utafutwe kwa nguvu zote, hawa jamaa online wataikimbiza sana mpaka WHO ilaumiwe kwa hujuma.
Hadi India wana uchaguzi mwaka huu?Ndio. Usisahau uchaguzi mkuu Tanzania ni mwaka huu. Kwa hivyo Magufuli lazima aonyeshe kuwa Corona sio tishio ili achaguliwe tena. Trump pia uchaguzi wake ni mwaka huu ndio maana hata yeye ana underplay the seriousness of corona ili achaguliwe tena. Hawa wanasiasa lazima waonyeshe kuwa corona sio tatizo for their own political survival.