Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Huku ndio kukomaa kuanzia shingoni kuja chini hivi ukichukua damu ya mbuzi au paka ukapima vvu majibu inategemea lazima yatakuwa negative, Sasa inapotoa majibu positive lazima utilie mashaka Kuna tatio eidha kifaa au labda hiyo sample ya damu ilichanganyika na damu nyengine yenye virusi,Sasa ndipo linapokuja swala la kuchunguza maana inawezekana ukachukua watu 10 wazima ukawa unawafanyia vipimo kila cku ukaja baadhi ukagundua wana korona na ukaendelea ukaja kupata majibu wale waliokuwa na korona wakawa hawana ndani ya cku 3 tu ,Sasa ndio maana ukaambiwa hivi vifaa lazima vifanyiwe uchunguzi sio vya kuviamini %100 sababu kwa mda huu vinavyotumi ilipasa viwe katika majaribio kwasababu huko nyuma huu ugonjwa haukuwepo kwahiyo hata vifaa havikuwepo vimebuniwa hivi karibuni lazima vitakua na matatizo Sasa wewe ukiendelea kuamini utadhani vimetoka mbinguni pole yako lakini huwez kusema eti kile kifaa kipo kwa kupima sampo ya binadamu tu kwani hizo dawa wanavyotengeneza moja kwa moja wanajaribiwa binadamu c wanapandikiziwa wanyama virusi Kisha wanawapa hiyo dawa wanaendelea kuwapima ili kujua Kama wameweza kupona au la ,Sasa kwahiyo unataka kutuambia katika majaribio hayo hakitumiki kipimo hiko kinachotumika kupimia binaadamu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
You argue like a class two kid. The kits were made specifically for human corona virus and that's why you haven't seen HIV being tested on those kits. Thermometer was also made for temperature readings and not salinity or pH. So you can't take goat's samples and test them in the human test kits and expect to achieve a correct outcome. It's like testing the functionality of ARVs drugs on someone suffering from malaria.
Sent using Jamii Forums mobile app