Kama kweli, basi Magufuli kwa hili atakuwa ameibua makubwa, Kenya hebu tuliangalie

Kama kweli, basi Magufuli kwa hili atakuwa ameibua makubwa, Kenya hebu tuliangalie

Huku ndio kukomaa kuanzia shingoni kuja chini hivi ukichukua damu ya mbuzi au paka ukapima vvu majibu inategemea lazima yatakuwa negative, Sasa inapotoa majibu positive lazima utilie mashaka Kuna tatio eidha kifaa au labda hiyo sample ya damu ilichanganyika na damu nyengine yenye virusi,Sasa ndipo linapokuja swala la kuchunguza maana inawezekana ukachukua watu 10 wazima ukawa unawafanyia vipimo kila cku ukaja baadhi ukagundua wana korona na ukaendelea ukaja kupata majibu wale waliokuwa na korona wakawa hawana ndani ya cku 3 tu ,Sasa ndio maana ukaambiwa hivi vifaa lazima vifanyiwe uchunguzi sio vya kuviamini %100 sababu kwa mda huu vinavyotumi ilipasa viwe katika majaribio kwasababu huko nyuma huu ugonjwa haukuwepo kwahiyo hata vifaa havikuwepo vimebuniwa hivi karibuni lazima vitakua na matatizo Sasa wewe ukiendelea kuamini utadhani vimetoka mbinguni pole yako lakini huwez kusema eti kile kifaa kipo kwa kupima sampo ya binadamu tu kwani hizo dawa wanavyotengeneza moja kwa moja wanajaribiwa binadamu c wanapandikiziwa wanyama virusi Kisha wanawapa hiyo dawa wanaendelea kuwapima ili kujua Kama wameweza kupona au la ,Sasa kwahiyo unataka kutuambia katika majaribio hayo hakitumiki kipimo hiko kinachotumika kupimia binaadamu ?
You argue like a class two kid. The kits were made specifically for human corona virus and that's why you haven't seen HIV being tested on those kits. Thermometer was also made for temperature readings and not salinity or pH. So you can't take goat's samples and test them in the human test kits and expect to achieve a correct outcome. It's like testing the functionality of ARVs drugs on someone suffering from malaria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku ndio kukomaa kuanzia shingoni kuja chini hivi ukichukua damu ya mbuzi au paka ukapima vvu majibu inategemea lazima yatakuwa negative, Sasa inapotoa majibu positive lazima utilie mashaka Kuna tatio eidha kifaa au labda hiyo sample ya damu ilichanganyika na damu nyengine yenye virusi,Sasa ndipo linapokuja swala la kuchunguza maana inawezekana ukachukua watu 10 wazima ukawa unawafanyia vipimo kila cku ukaja baadhi ukagundua wana korona na ukaendelea ukaja kupata majibu wale waliokuwa na korona wakawa hawana ndani ya cku 3 tu ,Sasa ndio maana ukaambiwa hivi vifaa lazima vifanyiwe uchunguzi sio vya kuviamini %100 sababu kwa mda huu vinavyotumi ilipasa viwe katika majaribio kwasababu huko nyuma huu ugonjwa haukuwepo kwahiyo hata vifaa havikuwepo vimebuniwa hivi karibuni lazima vitakua na matatizo Sasa wewe ukiendelea kuamini utadhani vimetoka mbinguni pole yako lakini huwez kusema eti kile kifaa kipo kwa kupima sampo ya binadamu tu kwani hizo dawa wanavyotengeneza moja kwa moja wanajaribiwa binadamu c wanapandikiziwa wanyama virusi Kisha wanawapa hiyo dawa wanaendelea kuwapima ili kujua Kama wameweza kupona au la ,Sasa kwahiyo unataka kutuambia katika majaribio hayo hakitumiki kipimo hiko kinachotumika kupimia binaadamu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Have you ever heard of a word known as false result? When you do a test do you know how it arise? Do you know the reasons why false results came up? For the disease, if it originated from the animal then it is something that has been there all along. If it is artificial then the test kits must have been tested and retested by those who developed the disease.
 
Labda nikuulize swali 1, ukichukua damu ya mtu anaeumwa korona ukachanganya na maji kidogo ukaweka Kwenye kichupa kwahiyo hapo kipimo hakitaweza kugundua Kama hiyo damu au huwo mchanganyikpo una virusi vya korona kwasababu umechanganya na maji?
Have you ever heard of a word known as false result? When you do a test do you know how arise? Do you the reasons why false results came up? For the disease, if it originated from the animal then it is something that has been there all along. If it is artificial then the test kits must have been tested and retested by those who developed the disease.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kwa nini usitumie kiswahili tu maana kingereza chenyewe kinakusumbua au ukiongea kingereza unaonekana msomi maana sentensi zako naona Kama zipo kinyume nyume
Have you ever heard of a word known as false result? When you do a test do you know how arise? Do you the reasons why false results came up? For the disease, if it originated from the animal then it is something that has been there all along. If it is artificial then the test kits must have been tested and retested by those who developed the disease.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Am seeing here according to CDC, Tanzania has only managed 652 tests and got 480 cases, that shows how they are terribly slow and the percentage of viral infection is so high.
We need to analyze those numbers while we take consideration that all of the tests were done on people who either had already shown some symptoms of COVID-19 or those who were close and direct contacts of the people who already tested positive for COVID-19.

If we had done a random testing or mass testing and got the same high percentage of the infected people then we would have concluded the results are alarming.
 
Ntasikitika sana kama umesoma zaidi ya darasa la saba! Huwezi ukawa na pedestian thinking kiasi hiki!
Huku ndio kukomaa kuanzia shingoni kuja chini hivi ukichukua damu ya mbuzi au paka ukapima vvu majibu inategemea lazima yatakuwa negative,
Unakosa very basic knowledge.
Vipimo havifanyi kazi kienyeji enyeji hivi kama kuchambua mahindi na maharage. Tumia huu mda kujifunza mawili matatu kwenye interenet. Usiache elimu ikaenda zake.
huko nyuma huu ugonjwa haukuwepo kwahiyo hata vifaa havikuwepo vimebuniwa hivi karibuni
You are just so ignorant! Mashine hiyo ilikuepo toka miaka mingi sana na imekua ikitumika kupima virusi vingine kama herpes.
kwani hizo dawa wanavyotengeneza moja kwa moja wanajaribiwa binadamu c wanapandikiziwa wanyama virusi Kisha wanawapa hiyo dawa wanaendelea kuwapima ili kujua Kama wameweza kupona au la ,Sasa kwahiyo unataka kutuambia katika majaribio hayo hakitumiki kipimo hiko kinachotumika kupimia binaadamu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nakusisitizia tafuta elimu kwanza kabla hujaja kucomment. Mambo hayaendi kienyeji hivi jamani!
Kutafuta vaccine sio kazi ndogo unavyodhania, mara nyingi ina invole ku "tengeneza" kirusi kingine tofauti ilio na "tabia" zinazofanania. Hicho kirusi kipya ndo kina chomwa mnyama na hatua zingine zinaendelea.
Kwenye kupima, technically sio mashine ndo inapima ila inakusaidia kudetect kitu flani kutokana na reaction ya reagents ulizotumia. Reagent unayotumia kwa panya kwa mfano sio reagent utakayotumia kwa binadam lakini mashine ni ileile.
TAFUTA ELIMU KWANZA!
 
Kama umemsikiliza vizuri Magufuli na ukaweka ushabiki kando, usengeweka hii post.

Magufuli amesema wazi kwamba, kuna uwezekano tatizo lipo kwa wafanyakazi wa maabara na kumtaka Waziri kuchunguza, lakini pia kuna uwezekano tatizo lipo katika vifaa vya upimaji ambavyo vinehidhinishwa na WHO, na kuomba WHO nao wafanye utafiti, pia ameshauri nchi zingine duniani kujaribu kuchunguza kama tatizo kama hilo linatokea katika nchi zao, sasa hapo ulitaka atoe ufumbuzi upi zaidi ya huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe usiwe boya kwa hivyo vipimo viliidhinishwa kupima mapapai ? kwa watu wa computer tunasema garbage in garbage out GIGO mbona hamsemi kuhusu hivyo vitu ilivyosoma negative or undetermined
 
Rais magufuli ni mtu makini sana...lazima uwe questionable,sio we unapokea tu,yaani unapokea tu....test kits za corona ziko na problem hata mi nishakuwa na wasiwasi kitambo tu
 
MK254,
Kitu kimenifanya nikose kuamini Mapadlocks anachosema ni kuwa Karibia kila nchi ya Afrika ikiwemo Kenya, zinatumia reagents na swabs na testing kits za WHO. Sasa itakuwaje, kati ya nchi zaidi ya hamsini ambazo zinapewa testing kits na WHO ni nchi moja tu inacomplain. Kwanza nchi ambayo ni kichwa ngumu imekataa kufanya hata partial lockdown?
Complain ya test kits za corona si magufuli tu,hiyo south korea,india,england,america,yemen,saudia arabia kwa nchi za afrika ni tanzania tu ndo wame-complain hii inaonesha ni jinsi gani tuna serikali makini
 
Muna serikali makini kwa kutest mapaipai. Wajinga sana nyie.
 
Usikimbilie kusema walikataa kits, pia fuatilia kujua walizikataa kwanini, elewa kwamba India walizikataa maana zinatoa false negative, kwamba watu wenye corona na wanafahamika, zinaonyesha hawana. Hivyo hazina uwezo wa kupata kirusi.
Sasa unabisha nini. Sasa kama kipimo kinakupa majibu ambayo ni false,hicho kipimo utasema ni accurate?

Vipimo ni magumashi, na magufuli yuko sahihi 100.
Haiwezekani ipimwe oil ,halafu majibu yawe positive...maana yake ni kwamba hata kama sample ni negative hivyo vipimo havishindwi kukupa jibu la positive

Mbona ni simple logic
 
Ntasikitika sana kama umesoma zaidi ya darasa la saba! Huwezi ukawa na pedestian thinking kiasi hiki!

Unakosa very basic knowledge.
Vipimo havifanyi kazi kienyeji enyeji hivi kama kuchambua mahindi na maharage. Tumia huu mda kujifunza mawili matatu kwenye interenet. Usiache elimu ikaenda zake.

You are just so ignorant! Mashine hiyo ilikuepo toka miaka mingi sana na imekua ikitumika kupima virusi vingine kama herpes.

Ndo maana nakusisitizia tafuta elimu kwanza kabla hujaja kucomment. Mambo hayaendi kienyeji hivi jamani!
Kutafuta vaccine sio kazi ndogo unavyodhania, mara nyingi ina invole ku "tengeneza" kirusi kingine tofauti ilio na "tabia" zinazofanania. Hicho kirusi kipya ndo kina chomwa mnyama na hatua zingine zinaendelea.
Kwenye kupima, technically sio mashine ndo inapima ila inakusaidia kudetect kitu flani kutokana na reaction ya reagents ulizotumia. Reagent unayotumia kwa panya kwa mfano sio reagent utakayotumia kwa binadam lakini mashine ni ileile.
TAFUTA ELIMU KWANZA!
Mbona unatulisha matango pori wakati bado ni mchana?. Hakuna kirusi kipywa kinachotengenezwa wakati wa kutengeneza chanjo" vaccines ", wanatumia " genetic material" ya kirusi husika, au wanatumia kirusi chote kizima ambacho kimevunjwa nguvu hakiwezi kusababisha ugonjwa" Atinuated", au wanatumia " protein from outer layer of virus".

Katika upimaji, vipimo vinavyotumika ni polymerize Chain Reaction( PCR), ambapo reagent lazima ikutane na RNA ya kirusi ndio reaction iweze kutokea, bila RNA ya kirusi husika reaction haiwezi kutokea, ikitokea.

Kama imetokea kwenye Mbuzi, basi huyo mbuzi lazima awe ameambukizwa na hiyo virus, hivyo ndivyo inavyogundulika kwamba kuna baadhi ya wanyama au wadudu wenye kuambukizwa virus mbalimbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom