Mimi kama mwananchi mwenye uhuru wa kutoa maoni nchi hii, naomba niseme kama kweli CCM mko serious kwaajili ya maendeleo ya wananchi tafadhali tunaomba mtuangalizie mtu atakaetufaa 2025
au basi kama mmeamua 2025 ni zamu ya mwanamke basi tunaomba mtuletee jina lingine,
sioni la maana sasaivi zaidi ya vitu kupanda bei, mi sijawai kuona Rais anatoa kauli zinazochochea mfumuko wa bei,
Rais anasema tujiandae kwa mgumuko wa bei haoni kwamba anawapa mianya mafisadi wa kuficha sukari na mafuta wafanye yao?
hivi kweli vita ya ukraine imesababisha hadi sabuni kupanda bei au kuna watu wanamshauri vibaya Raisi? Sera za ovyo kulinda viwanda vya ndani leo hii lita ya mafuta ya kula inauzwa 8000 na Rais haonekani kabisa kujali hilo
aisee hatulaumu sana kwasababu katiba imemlazimu awe hapo alipo lakini naona dalili kabisa kua ameshatamani sipati picha izo kampeni za 2025 atatwambia nn sisi?
Hatutaki sasa