Kama kweli CCM mpo kwaajili ya wananchi, Tunaomba 2025 msituletee Rais Samia

ngebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
1,789
Reaction score
5,117
Mimi kama mwananchi mwenye uhuru wa kutoa maoni nchi hii, naomba niseme kama kweli CCM mko serious kwaajili ya maendeleo ya wananchi tafadhali tunaomba mtuangalizie mtu atakaetufaa 2025

au basi kama mmeamua 2025 ni zamu ya mwanamke basi tunaomba mtuletee jina lingine,

sioni la maana sasaivi zaidi ya vitu kupanda bei, mi sijawai kuona Rais anatoa kauli zinazochochea mfumuko wa bei,

Rais anasema tujiandae kwa mgumuko wa bei haoni kwamba anawapa mianya mafisadi wa kuficha sukari na mafuta wafanye yao?

hivi kweli vita ya ukraine imesababisha hadi sabuni kupanda bei au kuna watu wanamshauri vibaya Raisi? Sera za ovyo kulinda viwanda vya ndani leo hii lita ya mafuta ya kula inauzwa 8000 na Rais haonekani kabisa kujali hilo

aisee hatulaumu sana kwasababu katiba imemlazimu awe hapo alipo lakini naona dalili kabisa kua ameshatamani sipati picha izo kampeni za 2025 atatwambia nn sisi?

Hatutaki sasa
 
Dah!! Yani !?!
 
Bila katiba mpya mengine yote ni dua la kuku
 
Mimi siikubali kabisa ccm kwa lolote, lakini kati ya Magufuli na Samia ni bora Samia mara mia. Ccm haileti rais bali ccm ni rubber stamp tu, rais anayechaguliwa na genge lijiitalo system. Tunataka katiba mpya ili kuondoa huu uhuni wa viongozi.
 
mmeambiwa hamieni burundi hamkuelewa au

zamu yake mwacheni
 
Endelea kuishi kwa matumaini ijapokuwa uwezekano wa ww kumvumilia kumuona madarakani ni mkubwa zaidi ya uwezekano wa matakwa yako kutimia.
 
Mimi siikubali kabisa ccm kwa lolote, lakini kati ya Magufuli na Samia ni bora Samia mara mia. Ccm haileti rais bali ccm ni rubber stamp tu ya rais anayechaguliwa na genge lijiitalo system. Tunataka katiba mpya ili kuondoa huu uhuni wa viongozi.
Ila Magufuli alikuwa ni habari nyingine aisee! Binafsi namshukuru kwa kiasi chake kwa kunisaidia kuondokana kabisa na utegemezi wa mshahara kwa 100%!

Na hii ni baada ya kuninyoosha kwa miaka 6 mfululizo kwa kutonipandisha daraja, wala kuniongezea mshahara! Huku nikiongezewa makato ya bodi ya mikopo kutoka 8% ya awali, mpaka 15% kwa mwezi.
 
Mama Ni Mama Hata Kama Unamzidi Elimu Ni Mama Yako Huyo

Tumeipenda Wenyewe Acha Ituuwe
Ukweli Viongozi Wetu Wamejaa Ghiriba, Ukakasi
Hali Tete Sana Sasa Hivi Kama Tupo Tuli!! Mwafa!!
 
Mimi kama mwananchi mwenye uhuru wa kutoa maoni nchi hii, naomba niseme kama kweli CCM mko serious kwaajili ya maendeleo ya wananchi tafadhali tunaomba mtuangalizie mtu atakaetufaa 2025

au basi kama mmeamua 2025 ni zamu ya mwanamke basi tunaomba mtuletee jina lingine,

sioni la maana sasaivi zaidi ya vitu kupanda bei, mi sijawai kuona Rais anatoa kauli zinazochochea mfumuko wa bei,

Rais anasema tujiandae kwa mgumuko wa bei haoni kwamba anawapa mianya mafisadi wa kuficha sukari na mafuta wafanye yao?

hivi kweli vita ya ukraine imesababisha hadi sabuni kupanda bei au kuna watu wanamshauri vibaya Raisi? Sera za ovyo kulinda viwanda vya ndani leo hii lita ya mafuta ya kula inauzwa 8000 na Rais haonekani kabisa kujali hilo

aisee hatulaumu sana kwasababu katiba imemlazimu awe hapo alipo lakini naona dalili kabisa kua ameshatamani sipati picha izo kampeni za 2025 atatwambia nn sisi?

Hatutaki sasa
Hilo ndilo tatizo la viongozi wanaojua watashinda uchaguzi tu na watapita bila kupinga.
 
Back
Top Bottom