Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
huo wako n mtihani, mimi najua Mungu yupo na namuamini, sasa sjui nitakusaidiajeNdio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huo wako n mtihani, mimi najua Mungu yupo na namuamini, sasa sjui nitakusaidiajeNdio
Kwa kweli hili suala halitatuliki😂huo wako n mtihani, mimi najua Mungu yupo na namuamini, sasa sjui nitakusaidiaje
na kwa nn nikulazimishe uamini hivyo wakat imani hiyo hauna?Kwa kweli hili suala halitatuliki😂
sababu lazima akuandae! huwa napenda kuziita Hekima za Mungu! Wengi wanakimbia njia zake maana lazima uache mabaya yote na umfuate..(uzinzi, wizi, kusengenya, ..e.tc).Pole sana ndugu ila mungu yupo sema njia zake ndio ngumu inahitaji uvumilivu sana.
Kwanini ameweka njia ngumu?Pole sana ndugu ila mungu yupo sema njia zake ndio ngumu inahitaji uvumilivu sana.
Ndio shida inaanzia hapo haijulikani Njia zake ni ngumu maana hazitabiriki unaweza kuwa loyal kwake na ukamuomba hata miaka 20 usione majipu.Kwanini ameweka njia ngumu?
Mimi mwenyewe nauhakika shetani ana nguvu,Habari zenu Wanajamiiforums.
Kwa mda niliotumia kumuomba Mungu na kutokupata majibu yoyote, nahitimisha kuwa nguvu za Mungu si nyingi kama tulivyoaminishwa.
Aisee nataka kuamia Mizimuni, Anayejua namna ya kutambikia Mizimu anielekeze, Mungu aliyeletwa na meli kwenye maisha yangu amefeli (Hana impact yoyote).
Am done.
Mtu akiamini mizimu ipo, Lakini haamini Mungu yupo. Huyo bado anakuwa kigeugeu. Mguu mmoja nje, mguu mwingine ndani.
Pengine hafanyi kazi kwa mtindo tunaohubiriwa.Ndio shida inaanzia hapo haijulikani Njia zake ni ngumu maana hazitabiriki unaweza kuwa loyal kwake na ukamuomba hata miaka 20 usione majipu.
HE IS STILL GOD,hata asipojibu maombi , yeye Bado ni MUNGU...Habari zenu Wanajamiiforums.
Kwa mda niliotumia kumuomba Mungu na kutokupata majibu yoyote, nahitimisha kuwa nguvu za Mungu si nyingi kama tulivyoaminishwa.
Aisee nataka kuamia Mizimuni, Anayejua namna ya kutambikia Mizimu anielekeze, Mungu aliyeletwa na meli kwenye maisha yangu amefeli (Hana impact yoyote).
Am done.
Unazidi kunichanganya na maneno mengi aiseeNdio shida ya kufanya jambo huku ukiwa na uhakika wa kwamba plan B yake ipo, huwezi kukifanya kwa ufanisi yaani kuingia miguu yote kwa maana unajua ukifeli huko huna pengine pa kukimbilia so uko na option moja tu.
Mambo ya kiroho yanahitaji maandalizi kwanza lakini pia inawezekana unachokiombea tayari kipo kwahiyo ni wewe tu kukifuata.
Na kama yupo hana nguvu.Hakuna mungu
Kwahiyo niendelee kuvumilia mpaka lini!!!Pole sana ndugu ila mungu yupo sema njia zake ndio ngumu inahitaji uvumilivu sana.
Hawai wala hakawii anakuja kwa wakati sahihi