Kama kweli Mungu yupo, basi hana nguvu

Kama kweli Mungu yupo, basi hana nguvu

Huyo Mungu ananizingua kweli kweli😃.
Kila nikimuomba naambulia patupu
Nimestukia mchongo aisee.
Ngoja nijaribu asili pia
Habari kaka, jaribu huko kwenye asili kama ulivyoamua.
Ila ushauri wangu achanavna mambo ya imani, ishi kwa kutegemea fact na siyo mambo ya imani.
Imani zinapumbaza mkuu.
 
Ya
Nilipokuwa deep kwenye dini maisha yangu yalikuwa magumu kama chuma Cha pua nimetoka uko uko ila waya ni mkali sana unaweza ukadata na kupagawa Kuna mida huelewi maisha yanataka nn? Kmmk
Yani acha tu Mkuu.
Haya maisha mda mwingine ni useng*
 
Watu wa dini kwa kujifariji hawajambo.
Eti Mungu hawahi wala hakawii, eti anakuja kwa "wakati wake"
Fikiria hivi, uko jangwani unahitaji msaada wa Mungu, ila hakusaidii kwa kisingizio cha kwamba atakuja kwa wakati wake, sasa huyu Mungu ana msaada gani?
Yaani mpaka ajisikie ndiyo akusaidie?
Kwamba hata uombe mwaka mzima hawezi kukusaidia kama muda aliopanga haujafika?
Kwahiyo tayari alishapanga maisha yetu yatakuwaje?
Sasa kama alishapanga maisha yetu kuna ulazima gani wa kumuomba?
Na wengi wanamuomba huyo Mungu wakiwa wanaogopa story za jehanam.( Stori ya kusadikika)
 
Mimi naamini katika Mungu kama Muumba wetu ila sio kwamba ndio anafanya magic ili tufanikiwe.
Siamini kama yeye ndio anahusika na mafanikio yangu. Mungu aliumba kila kitu akatuacha tuishi, yeye hatuingilii kwenye maisha wala mipango yetu.
Tuache kusali sana kudhani ndio tutafanikiwa kupitia sala. Mafanikio unayatafuta wewe mwenyewe
 
Nina jeuri ya kusema ila hajawahi kunisaidia kwa chochote.

Katika maisha yangu Mungu hana msaada
Mungu yupo na hapo ulipo una jeuri ya kusema kwa sababu ya Nguvu ya Mungu.
Hata hivyo huenda amesikia kilio chako siyo muda mrefu anakuja kumaliza shida zako.
 
Habari kaka, jaribu huko kwenye asili kama ulivyoamua.
Ila ushauri wangu achanavna mambo ya imani, ishi kwa kutegemea fact na siyo mambo ya imani.
Imani zinapumbaza mkuu.
Hii nataka niipractice sio kuwa tu na imani.

Nataka nione upande wa pili kama utakuwa na matokeo.
 
Mimi naamini katika Mungu kama Muumba wetu ila sio kwamba ndio anafanya magic ili tufanikiwe.
Siamini kama yeye ndio anahusika na mafanikio yangu. Mungu aliumba kila kitu akatuacha tuishi, yeye hatuingilii kwenye maisha wala mipango yetu.
Tuache kusali sana kudhani ndio tutafanikiwa kupitia sala. Mafanikio unayatafuta wewe mwenyewe
Angalau point yako ina mashiko kiaina.

Ila huyu Mungu nishachoka naye kabisa, Kama kweli yupo alikosea sana kunileta kuja kuzurura hapa duniani.
 
Usikute ulikuwa unamuomba mihela ila yeye akaona hiki kichwa nikikipa hata m50 hakitatoboa hata miaka 3... kitaanza kutishia bastola watu mtaani na mwisho kidedi kwa starehe
 
Usikute ulikuwa unamuomba mihela ila yeye akaona hiki kichwa nikikipa hata m50 hakitatoboa hata miaka 3... kitaanza kutishia bastola watu mtaani na mwisho kidedi kwa starehe
Mungu fala tu, hawezi kukupatia hata senti moja
 
Usikute ulikuwa unamuomba mihela ila yeye akaona hiki kichwa nikikipa hata m50 hakitatoboa hata miaka 3... kitaanza kutishia bastola watu mtaani na mwisho kidedi kwa starehe
Kumbe ni Mungu mjinga anapenda kuona watu wake wakiishi maisha ya kifukara!!!

Huyo ni Mungu au takataka!!!
 
Back
Top Bottom