Mamsosa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2024
- 1,047
- 2,246
Itakua unamuomba aliyekaimishwa madaraka ya MunguHabari zenu Wanajamiiforums.
Kwa mda niliotumia kumuomba Mungu na kutokupata majibu yoyote, nahitimisha kuwa nguvu za Mungu si nyingi kama tulivyoaminishwa.
Aisee nataka kuamia Mizimuni, Anayejua namna ya kutambikia Mizimu anielekeze, Mungu aliyeletwa na meli kwenye maisha yangu amefeli (Hana impact yoyote).
Am done.