Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 594
- 1,061
Mkuu kwanza kabisa nikili mimi kama mtu mwenye akili timamu kwamba kuna hoja zako nyingi tu zinamashiko kabisaa..! logically zinamake strong sense.Sasa kulikuwa na haja gani ya sisi kuwepo kwenye materials world tu?
Ndio Hakuna maana yeyote sisi tuwepo kwenye dunia yenye changamoto.
Kama huyo Mungu aliweka changamoto hapa duniani halafu yeye kabaki zake huko alipo anakula good time naku enjoy life, Basi huyo Mungu mjinga sana.
Mtoto mchanga anayezaliwa kisha wazazi wake wanafariki, Yeye binafsi atawezaje kubadilisha hatima yake bila kuhitaji msaada?
Au unaongea tu bila kufikiri kwa kina?
Mtoto mchanga anayezaliwa kisha wazazi wake wanafariki, Atawezaje kutumia nguvu zake yeye mwenyewe ili akue na kufanikiwa yeye mwenyewe kwa nguvu zake tu?
Freewill haipo.
Ndio maana huwezi kuua mtu, Halafu useme ni freewill yako umeamua tu kuitumia kuua.
Ukishaona kuna sheria jua kwamba hakuna uhuru.
Na kwasisi watu tuliojengewa misingi imara ya kidunia katika physical(material world) tu. Namaanisha kupitia elimu dunia(science (laws of physics, chemistry & biology) kwa mtizamo wetu huo, namna tunavyoiona/i-percieve dunia na ku-reason mambo tupo sahihi kabisa, kwasababu at the that moment majority tupo katika physical realm na hizo laws tunashuhudia zinafanya kazi kweli.
Sasa huo ulikua ni upande mmoja wa story ulioaminishwa... What if kuna upande wapili!? Sasa je unajua kuna upande mwingine ambao una-defy almost laws zote za physics... Yaani mambo unayoyaona hayawezekani physically kule yanawezekana, na haya yanayoonekana huku physically inakuaga ni reflection ya kile kilichokwisha fanyika huko upande wapili...(wanakuaga ktk flexible time and space(wanaweza wakabadilisha histolia wakaamua maamuzi at the moment na kuamua future fate.)) sound like a tea 🍵 😁😁
Haya ni masuala yamewekwa siri kwa makusudi na hata yakiwekwa wazi basi wahusika wanatumia codes ngumu kiasi kwamba sisi tunaofichwa tusipate ufahamu,
Na yanafichwa kwasababu ndio nguvu yenyewe (power) kila mtu anauwezo usio wakawaida na laiti kama kila mtu angepata access ya hiyo knowledge akai-master namna ya kutumia basi hapa duniani pasinge tawalika... So kuna viumbe watu wachache ama Taasisi fulani wananufaika na siri hizo.
Sina ushahidi wa haya wala reference za kutosha, lakini fikilia hivi tusichukulie dunia nzima twende specific katika nchi... Hivi nchi inaongozwaje ukiachana na serikali na secret security service(kwanini iwe secret service), kuna kitu kinaitwa deep state. Sasa hiki kideed state kwenye mataifa makubwa unafikiri ni kitu gani....!!?
Pia unajua kua tunaishi katika simulation! Yes tupo simulated kuanzia tunachofikilia, tunachoamua, tunachochagua kiufupi lifestyle nzima tunapangiwa... Ni hivi kabla haujawaza au kufikilia maamuzi yako binafsi mfumo uliyopo unahakikisha haufikii hatua hiyo lazima ukutengenezee ratiba ya nini utafanya nini utawaza na nini utaamua wakati huo wao wanaendelea na ratiba zao... Na kukiwa na jambo zito au la muhimu kwao, utaona wiki hiyo matukio ya ajabu na kudaka hisia za watu yanafululiza sana. Refer rocket metal ring iliyoanguka hapo jirani.
Sasa swali ni je kwanini wanafanya hivyo... Kwani wakifanya mambo yao bila kukuzonga wewe kuna shida yoyote... Jibu ni ndio una nguvu na unauwezo wa kubadili fate (hatima).
Na ndio maana kuna sala kuna wengine wanafanya meditation ukiwa serious kwenye hivi vitu inamaana unaondoka kwenye simulation system. Unabakia wewe halisi sasa nini kinatokea baada ya hapo... Back to you bro Kwa msimamo ulionao kwa unachokiamini sikushauli ukaulize kwa wanaofanya Sara au meditation, Mimi nakushauri kajaribu na wewe uone nini kinatokea, we fanya kama unajaribu kuwa serious na Sara au meditation...we fanya kama unajikuna.