Kama kweli Paroko katajwa kimakosa kifo cha Albino, Polisi Mtawaambia nini Watanzania?

Kanisa katoliki lina utaratibu wake huwa hawakurupuki kama alivyokurupuka msemaji wa polisi ndiyo maana linaheshimika duniani kote.Aliyekurupuka kumtaja paroko ajitokeze tena kulisafisha kanisa mbele ya vyombo vya habari
 
Inasikitisha sana
 
Nimesoma wee naona kuna Watu wamepanik kwa sababu tu mtuhumiwa ni Paroko, Paroko ni cheo anachokuwa nacho mtu hiyo haimaanishi huyo mtu hakosei la hasha! hapa cha kujadili ni hiki

Huyo anayejulikana kwa jina la Elpidius ni padri kweli ila ni wa jimbo la Rutabo kama wanavyosema wengine, Hoja ni hii Aliyekamatwa na viungo ni nani ndo huyo wanayesema mlevi au huyu Padri sasa? Majirani wa huyo padri semeni ukweli msitetee kama ni yeye semeni ni yeye na kama sio yeye sasa hapo tujiulize jina lake limehusikaje, hapo huwezi kuja na hoja nyepesi za kutetea uparoko
 
Unamtetea hali yeye hajajitetea huu ni wehu, kujipendekeza
 
Polisi wakukurupuka waulizwe vizuri
 
hapa kuna mbinu ya kulitoa kanisa na mtuhumiwa wao kwenye hii kesi
kanisa limeingia front
 
Taarifa zinasema huyo mtajwa ni Padre aliyesimamishwa kufanya huduma kutokana na tatizo la uraibu wa pombe.
 
Well hatuwezi kukataa,binadamu anabadilika binadamu siyo malaika tuseme hawezi kukosea hata awe paroko awe askofu awe sijui nani akiishakuwa na sifa ya ubinadamu tu huyo ni sawa na sisi sote.

Jeshi la polisi wafanye kazi yao ikithibitika ni wao sheria ifuate mkondo wake haki ya huyo mtoto ipatikane,naona kuna wanaojaribu kusema Kanisa linafanya namna kuwasafisha hakuna kitu kama hicho Kanisa linasimamia maadili yake mtu mmoja ndani yake hawezi kukosa nidhamu akaachwa kulichafua.
 
Kwenye Kesi zilizowahi kuwa maarufu kuna mtu aliwahi kuijitambulisha kwa jina la " Kukutia Ole Pumbuni."
 
Tatizo lenu nyinyi mnaonanga hamfanyi dhambi na mnaona kanisa haliwezi kosea ,hapo angekua sheghe mngeanza kutukana wavaa kobazi
Ndio mjifunze dhambi anafanya mtu sio dini imbwa nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…