Mkuu kama hakuna sekta binafsi, ndugu Kufulila anasimamia nini PPP?? Na TIC ni wa nini???Tanzania hamna private sector ila tuna wachuuzi na wahujumu Uchumi kama Itel muuza makasha ya simu na betri kupewa tenda ya kuagiza Sukari!!
Mkuu Magufuli alikuwa papa wa conspiracy theories, usikatae.Unajiita "Zitto junior" so ni obvious utakuwa na mawazo,akili na chuki kali sana kwa magufuli kama alivyo kabwe tu.
Well, nakubaliana na wewe kwa asilimia kadhaa kwenye hiyo paragraph yako ya kwanza hasa hapo uliposema kwamba wakati jpm anaingia madarakani wabongo kwa kiasi fulani walikuwa na ufahamu au utambuzi kulinganisha na miaka ya nyuma yake...!!
Wapinzani kipindi cha Sita na makinda walijitahidi kuleta mshike mshike ambao ulichangia kwa kiasi kikubwa kuwaweka aware watanzania na ufisadi, ila kutokuchukuliwa hatua yoyote ile kwa mafisadi wenyewe kulifanya wabongo kuanza kupuuzia habari za kisiasa na matukio mbali mbali yanayoendelea nchini yanayohusu ufisadi.
Kuhusu kufundisha watu conspiracy theories hizo ni fikra zako binafsi ambazo ziwezi nikazinunua hilo nawaachia nyie wafusai wa zitto, mimi ninachojua ni kwamba alionesha nia ya dhati ya kulibadilisha taifa hili ikiwa pamoja na kulifanya kuwa hardworking nation na hiyo spirit tayari ilikuwa imeshaanza kumea.
Mkuu kama walikuwa wanasiasa uchwara Magufuli alikuwa anawanunua kwa mpunga mrefu wa nini!!Kama ni teja nenda sober house, kama umelewa nenda kalale.
Mkuu nani kashindwa, kwani hiyo miradi anaijenga yeye sasa hivi??? Mbona unajitoa ufahamu kiajabu namna hii??!!Kwani wanaoshindwa kujenga vitu kama hivyo hawakusanyi kodi toka kwenye vipato vyenu?
Wewe huna akili Tena mpumbavu. Leta ushaidi wa hata jambo Moja kati ya hayo uliyo Sema,,Jiwe ndiyo mtu wa hovyo kuliko wote waliowahi kupewa madaraka ya urais nchi hii:-
1. Alikuwa mporaji, mtekaji, muuaji na mpiga watu risasi.
2. Aliunda kundi la watu wasiojulikana lililokuwa linaua na kuteka watu.
3. Alikuwa muuaji wa uchumi wa nchi kwani alikuwa anapigana kufa kupona ili kuua sekta binafsi
4. Hivyo vidaraja unavyoviita flyover ni ushubwada tu ukilinganisha na mauaji ya watu
5. Alikuwa hapendi demokrasia. Alizima internet siku ya uchaguzi, aliwachukia wapinzani na upinzani na akawafukuza nchini wapinzani. Mshenzi sana yule.
Usinichoshe yanatosha kwa sasa
Mkuu unasema jembe, wakati wenzie waliotangulia walikuwa matrekta heavy duty, tena full four wheel!!!Huyo mzee alikuwa jembe kweli kweli, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Alikuwa anafatilia miradi kwa umakini, na upigaji ulipungua kwa kiasi chake.
Mkuu hakuna anayekubaliana na wazo kuwa Magufuli alijenga hiyo interchange kwa hela yake.Si bora JPm alijenga daraja ili kwa kutumia usimamizi mzuri wa Kodi zote...huyu wako mnaemshabikia kajimilikisha pesa zote anagawa na sasa kuna pesa inatoka inaitwa Goli la Mama...
Zile za EPA vilevile zilikuwa za serikali au zako mbona hazikujenga chochote wakaweka mifukoni hadi leo? Kila kitu ni ‘what aboutsm” !!Kwani Magufuli alijenga kwa pesa zake?
Tujikite kwenye utendaji.Mkuu acha kuruka mada, tulia hakuna mwenye vyeti Feki hapa.
Magufuli mwenyewe unayemhusudu alikuwa na cheti cha PhD Feki.
Tuliza mshono usirukeruke kama bisibisi Mkuu, jibu hoja hii.
Je, Magufuli kajenga interchange ya Ubungo kwa hela yake yaani mshahara wake au kwa mkopo wa world bank????
Kwani hao wengine walikaa madarakani bila ya kufanya chochote? Unataka kusema yote yaliyopo yalifanywa na JPM? Huyo JPM kuna mambo kibao katukosea sana.Waliokua wameshindwa kujenga..Pesa hazikuwepo?. Kama zilikuwepo, kiliwashinda nn??
Kama hazikuwepo, Magufuli alitoa wapi??.
Wewe inaonekana unapenda kuliaNililia muda wote tangu alipotangazwa amefariki mpaka kuzikwa kwake, na hata leo ninaporudia kuangalia matukio ya msiba wake, wale wajeda na kina mama, wazee kwa vijana walivyokuwa wakishindwa kujizuia, huwa inanitoa machozi
Nilimkubali sana yule mzee, na hakika yangu, haijatokea kiongozi niliyewahi kumkubali na sijui kama atatokea tena kama yule mzee
Ila Mungu ni mwema, asikie kilio cha wote wanaonyanyasika na mabwanyeye ya CCM
JPM alikuwa na mapungufu mengi tena yasiyokuwa na ulazima wowote ule. Na ni lazima pia akumbukwe kwa yale ya kipuuzi aliyofanya.Umeandika upumbuvu tupu kama wewe ulivyo?
Ni lini umkubali mtu aliyekutoa ofisini kwa vyeti feki?
Ile ilikuwa chai mkuu, hakuna kitu hapo, ni mjuaji mmoja wa Lumumba hapo. Mjanja mjanja na mtafuta fursa tu, sema ana vi exposure vya hapa na pale.Kama
Niliona ni mtu wa maana ulivyochaguliwa kureview tafuti za AL, kumbe kuna maeneo unahitaji kupigwa brush ya maana. Serikali kujenga barabara, kuleta maji au kutoa huduma za afya ni jukumu lake la msingi. Serikali inatoza kodi kwa raia wake hivyo inapaswa kutumia fedha hizo kutoa huduma bora kwa wananchi.
Ujinga huu. Magufuli alikuwa rais ili ajifungie ikulu na kula raha? Alilazimishwa? Unajua kuna wengine ambao wangefanya makubwa zaidi ya haya lakini akawapora kura zao ili yeye awe rais?
Usipite na gari lako Kijazi interchange.
Kwa wanao toka Mbezi kuelekea kariakoo na Posta pitia njia ya Goba au maji chumvi.
Fanya hivyo boss utakua na amani.
Tuache kudharau viongozi wetu tusitukane tuwaheshimu wote.
Kama unaona unakereka na uongozi wa kiongozi yeyote jenga hoja njoo na data kuliko kutukana viongozi njoo na data.
Humpendi lakini bado unajilazimisha kupita kwenye daraja alilosimamia. Huoni kama unajiumiza.
View attachment 3019558
Kuna wakati unaonekana una akili na upeo mzuri. Kuna wakati unajitoa ufahamu unakuwa chawa. Kuna wakati unaonekana kama tapeli mtafuta fursa.Leo mtasema yote mnatuletea unafiki hapa. Sijawai kupewa pesa na mtu wala rushwa.
Linapokuja swala la kuusema ukweli lazima tuseme.
Kama humpendi kwanini unapita kwenye daraja alilosimamia huoni kama unaumiza moyo wako.
Leo mtasema yoteUjinga huu. Magufuli alikuwa rais ili ajifungie ikulu na kula raha? Alilazimishwa? Unajua kuna wengine ambao wangefanya makubwa zaidi ya haya lakini akawapora kura zao ili yeye awe rais?
Yaani leo mtasema yoteKuna wakati unaonekana una akili na upeo mzuri. Kuna wakati unajitoa ufahamu unakuwa chawa. Kuna wakati unaonekana kama tapeli mtafuta fursa.
Unafikiri miradi mingine ingefanyika wakati huu endapo isinge anzishwa na JPM?Mkuu nani kashindwa, kwani hiyo miradi anaijenga yeye sasa hivi??? Mbona unajitoa ufahamu kiajabu namna hii??!!
Wewe ndiye unapaswa kuleta ushahidi wa kupinga. Shoga weweWewe huna akili Tena mpumbavu. Leta ushaidi wa hata jambo Moja kati ya hayo uliyo Sema,,