Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
Mkuu kama hakuna sekta binafsi, ndugu Kufulila anasimamia nini PPP?? Na TIC ni wa nini???Tanzania hamna private sector ila tuna wachuuzi na wahujumu Uchumi kama Itel muuza makasha ya simu na betri kupewa tenda ya kuagiza Sukari!!
Na pili huyu unayesema ni mchuuzi ni mtumishi wa serikali??? Kama sio yupo Seka gani???
Kwa hiyo TRA inakusanya kodi kwa wahujumu uchumi halafu inawaacha tu??? Naomba utueleweshe vizuri hapa!!!