Uchaguzi 2020 Kama leo haya yametokea kwa NEC, vipi kuhusu kesho Matokeo ya Uchaguzi?

Pale mtu anapotoa mapingamizi ya kisheria, na kunukuu vifungu vya sheria kusupport hoja zake kisha ww unamjibu kisiasa, kwa utashi wako, pasipo kuonesha vifungu vya kisheria vya kujibu hoja, hawa watu ni hooligans kabisa, total hopeless!
Tatizo Lisu kawapora akili zenu zote.

Lisu kasema Magufuli hakuweka picha. Nec wameangalia kwenye form za Magufuli wamekuta picha, hilo pingamizi bado lina maana ya kuwapotezea watu muda?
 
ina maana hadi msigwa anadai lissu alisema hakuna picha????ah aha jamani halafu katoa hoja mbili na ile ya kupigwa mihuri kwenye majimbo mbona ile haizungumziwi?
hakusema kwamba hakuna picha kaitoa kasoro picha kutoonekana sikio imekaa upande na ya zaidi ya miezi mitatu sababu ipo kwenye mabango muda mrefu picha inatakiwa iwe miezi 3 kabla ya uwasilishaji fomu
 
Hayo yote sii ya kuyashangaa ,chakushangaza ni uleutaratibu was hati za dharura,na kupitishwa kwa hoja husika kwa utaratibu was ndiooo ,tuukatae utaratibu huu muda no Sasa,huyu anajaribu kutukumbusha kwa Nia njema ,wapitunapo kosea.
Wanapaswa kujifunza kwa yote yanayotokea sasa,kwa kile walicho kifanya kipindi ambacho walipewa nafasi ya kutunga sheria kwa manufaha ya Taifa lakini wakaendekeza uchama.
 
Mahakama ilikosea sana kuruhusu wakurugenzi kusimamia uchaguzi huu.mambo wanayofanya wakurugenzi kule chini ni aibu sana. Kwa mfano mkurugenzi wa Moro ni kituko zaidi
Wakurugenzi walikuwa ni watu sahihi sana kwa namna walivyokuwa wakipatikana kabla ya December, 2015, maana walikuwa wanachukuliwa miongoni mwa watumishi. Baada ya hapo walianza kupatikana kwa kuteuliwa kutoka nje ya utumishi wa umma, na hasa wakawekwa makada wa chama ambao hawakuwahi kutumikia public service
 
Sasa picha za kwenye form za Magufuli anazoongelea Lisu ni zipi? Hizo siyo picha?
KICHWA chako ni kizima mkuu? umeambiwa picha hiyo ina zaidi ya miezi mitatu sababu ipo kwenye mabango mitaani muda mrefu sheria ni kwamba picha inayopelekwa iwe latest miezi mitatu kabla ya kuwasilishwa form, na sikio moja halioneani imekaa upande mna shida gani nyie si usisikilize link hiyo hapo juu? au mmeshikiwa akili?
 
Hiyo siyo tume bali ni genge tu fulani limeundwa kutupotezea muda wetu, Tume ya uchaguzi iko hivyo?

Utafikiri wote ni Darasa la saba
 
Mahakama ilikosea sana kuruhusu wakurugenzi kusimamia uchaguzi huu.mambo wanayofanya wakurugenzi kule chini ni aibu sana. Kwa mfano mkurugenzi wa Moro ni kituko zaidi
Mahakama ni sehemu ya CCM.

CCM branches ni POLICE-CCM, UVCCM, MAHAKAMA-CCM.

TISS wako vizuri wako hawana ujinga, wao ni weledi kanuni na uzalendo mkubwa kwa nchi yao mungu awabaariki TISS wanafanya kazi nzuri sana japo mapungufu yanaweza kuonekana kwa sababu nao ni watu wanakosea na kupatia.
 
Yaani picha kukaa upande nayo ni pingamizi?
Huyu Lisu kawa kichaa sasa ee?

Hivi unaposikia wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo wewe unaelewa nini?

Hao ndio Nec wenyewe,! nec siyo lile jengo pale dodoma ni watu wapo kuanzia huko kwenye majimbo ndio maana hata matokeo yataanza kutolewa kuanzia huko majimboni.,!

Lisu alipopeleka form zake akikaa muda mrefu na aliambiwa wenzie waliotia saini kwa wasimaizi wa uchaguzi majimboni hawakukaa sababu NEC makao makuu hawakuwa na haja ya kuanza kupitia upya kitu kilichopitiwa tayari na wawakilishi wao huko mikoani.

Ndio NEC walipoona mapingamizi ya Lisu wakayatupa kapuni
 
Hebu msitupotezee muda tuna mambo mengi ya kufanya kuliko upuuzi wa huyo chizi wenu lissu sasa anataka atangazwe amepita bila kupingwa au ?

Bila kupingwa kwani Spunda na Membe si wapo clean!

Hata hivyo si ajabu, mbona wabunge walitaka kuenguliwa kwa figisu?
 
Sasa huoni kama nyie na Lisu ni wote hamna akili?

Sikio moja halionekani nayo hiyo ni pingamizi?

Alafu Lisu anaposema picha aliyoweka Magufuli ipo kwenye mabango na njia, kwani mtu huwezi kupiga picha umavaa shati flani leo baada hata ya mwaka ukapiga nyingine kama ile kwa shati lilelile?

Hoja za Lisu ni takataka.
 
Jinga kweli wewe,picha yenye viwango vya hati ya kusafiria inakubalika hiyo na vipi hiyo picha kuwa na umri zaidi ya miezi mitatu? vipi mihuri ya watu wa NEc wa majimbo?jibu na hizo hoja.

Watu wamekatwa sababu herufi moja kasahau kuwka herufi kuwa wewe unashangaa sikio na mtu kuangalia upande?
 

Ni delicious tu anayeweza kufikiri namna hii, so kwa vile kuna kila dalili za hila na hujuma kisa rushwa hivyo unashauri watu wakubaliane na uovu na wakae kimya!!
 
Mbona hoja iliyopo ni tofauti na ulichojadili wewe. Au umekosea sehemu ya kuandika dukuduku lako
 
Lissu alikua anaongea kituo kwa kituo aisee kama angekuepo muda wote nchini na wasingebinywa wapinzani tungejua mengi sana...kwa mara ya kwanza jana nikasema moyoni mtoto wangu akitaka kusoma sheria nitamruhusu kwa asilimia 1000%
 
Yaan jamaa angekuwa ticha wa law huwezi kufeli somo lake. Lakini kuna mataga wanasema ule ni upuuzi[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…