Uchaguzi 2020 Kama leo haya yametokea kwa NEC, vipi kuhusu kesho Matokeo ya Uchaguzi?

Lissu alikua anaongea kituo kwa kituo aisee kama angekuepo muda wote nchini na wasingebinywa wapinzani tungejua mengi sana...kwa mara ya kwanza jana nikasema moyoni mtoto wangu akitaka kusoma sheria nitamruhusu kwa asilimia 1000%
Watu kama magreth thatcher baada ya kupata degrees za kawaida wakaenda kufanya sheria, yaani ni muhimu sana.
 
Soma sheria za uchaguzi vizuri.

Tume ndio inapokea pingamizi na utetezi wa aliye wekewa pingamiza kisha Tume inachambua mchele na pumba kisha inatoa maamuzi.
pingamizi zilizo wasilishwa na lisu zimebainika kuwa ni pumba tupu na zimetupiliwa mbali, utaratibu ulio fanywa na tume upo kisheria sio wa kujiamulia tu. kinacho sisitizwa na Tume ni vyama vyote kuzingatia taratibu na sheria zilizopo, na sisi wafuasi au wanachama tunapaswa angalau tuwe na uelewa wa sheria za uchaguzi.
 
Katumia nguvu nyiiingi kuelezea mapingamizi hewa daaa anachekesha kwelii
 
Hebu msitupotezee muda tuna mambo mengi ya kufanya kuliko upuuzi wa huyo wenu lissu sasa anataka atangazwe amepita bila kupingwa au?
Mkuu una uelewa mdogo sana, kwani wagombea Urais wako wangapi na wangapi kawawekea pingamizi?
Polepole awe anawapa shule kabla ya kuwaleta humu
 
Mkuu una uelewa mdogo sana, kwani wagombea Urais wako wangapi na wangapi kawawekea pingamizi?
Polepole awe anawapa shule kabla ya kuwaleta humu
pamoja na wewe ndiyo kama lissu hamna hoja subirini kusherehekea kuapishwa kwa jpm
 
Waweza kuta na wewe una familia na wanakutegemea, Tanzania bhana.
 
Wanajitangaza bila kufikiri kuwa wanategemea kupita bila kupingwa kwa kutumia rushwa waziwazi.Pale ambapo wanaojidai kupambana narushwa wakitoa rushwa hadharani.Walitangaza kuanzisha mahakama ya mafisadi ambayo inajadiliana na wala rushwa watoe faini(rushwa?) ili waachiliwe na siyo kifungo.Aibu ni Juu Yao.
 
Umefwatisha hatua Kwa hatua hoja za hayo mapingamizi? Ni ngumu kuzielewa kama hujafwatilia Kwa makini au kama huna uelewa wa kutosha. Kuna kitu kwenye Sheria kinaitwa "TUME". Tafsiri ya Neno TUME huitungi wewe, ipo kisheria.

Ukitaka kujua umuhim wa kuwa na passport size photos zinazokubalika kisheria, kaombe visa na passport yenye background au umri unaotaka wewe ndio utaona umuhim wa kufwata maelekezo ya passport size photos.
 
Je sheria inasema wapeleke huko au watahakikiwa siku ya kuteuliwa?
Narudia kwako pia, Being Mataga is not a justification of being an Idiot
 
Kwa bandiko lako. Je akili kubwa (ujanja) ni kuukumbatia uharamu na hila ?!. Basi Mimi sitaki kuwa mnafiki
 
Hayo yote uliosema kwa mwenye akili anayajua fila lengo ilikuwa ni vyama vijitoe ili wapite kirahisi zaidi ila lengo la CDM might be to show the world kinachoendelea Tanzania na hicho ndicho lengo kwa mfumo huu hakuna mpinzani atakaeshinda nchi hii hata siku moja hili lipo wazi. Pingamizi aliloweka hats yeye mwenyewe alijua watajikanyaga na hii ni kuonyesha ulimwengu tu.e sio huru tumeingia kwenye mtego. Badala kubrash kama walivyofanya wangeweza kufanya tofauti na kutoa mtazomo chanya.
 
Tatizo Lisu kawapora akili zenu zote.

Lisu kasema Magufuli hakuweka picha. Nec wameangalia kwenye form za Magufuli wamekuta picha, hilo pingamizi bado lina maana ya kuwapotezea watu muda?
Nilivyo muelewa Tundu Lissu ni kwamba," picha iliyowekwa si ya kipindi cha karibuni pia picha iliyowekwa haina vigezo ya kuitwa pasipoti size. Mpingeni kwa vifungu vya sheria vilivyo wekwa na tume ya uchaguzi.
 
Kwani sheria na muongozo wa tume unasemaje?
 
yaani tungekuwa wote tuna uelewa kama wako mkuu tungefunga mjadala na kusubiri magufuli aapishwe lakini bado kuna michadema inaamini lissu rais pumbaaaaaaaavuuuuu
 
Lissu hawezi kuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ila anaweza kua rahisi wa kutetea mikataba ya kutetea maslahi ya wale waliomtuma na wapenzi wa jinsia moja
 
Wachache sana wamemuelewa Tundu Lissu. Pia kunawalio muelewa lakini wanajifanya hawakumuelewa wanapotezea.

Kiukweli somo tumelipata,Tundu Lissu ametufundisha na kututoa matongotongo sehemu ambayo tuliambua pana haki inatendeka. Ametuambia ,"Je,mimi na wewe tumekwisha kujua kama tume ipo kwa manufaa ya cha tawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…