Uchaguzi 2020 Kama leo haya yametokea kwa NEC, vipi kuhusu kesho Matokeo ya Uchaguzi?

Hadithi zenu ni zile miaka ya nyuma kulikua hakuna wasomi,sasa tulikuwa tunashtuka kuskia wasomi hahaaa,kumbe ni watu wa kawaida tu.
Sasa mnaona eti ni msomiiiii,yaani mnachekesha,eti yaani kashusha vifungu nonsense,kila mtu ni expert kwenye eneo lake,niko sure sayansi hajui.
Sheria si ngwini tu,kukariri kwa sana.
Kina Orengo na PLO Lumumba wasemeje sasa.
Hata hapa Bongo kuna Wanasheria wengi tu kumzidi.
Yeye anajua sheria,ila Magu ni Mwanasayansi na hawanaga maneno mengi.mnajua vizuri sayansi na ngwini nani babalao.
Na usiniquote.
 
Hebu msitupotezee muda tuna mambo mengi ya kufanya kuliko upuuzi wa huyo wenu lissu sasa anataka atangazwe amepita bila kupingwa au?
Kweli mna mambo mengi yakufanya kwani uongo 😂😂😂😂😂 unadhani kutumia wasanii zaidi ya 200 mchezo!!! Mlijua battle itakuwa kama yule mzee wa maneno matatu Elimu Elimu Elimu😂😂
 
Haeleweki tundu😁😁😁😁
 
Watz wanaowajibu wa kuukomesha uhuni ufanywao na Hawa wakurugenzi ili kudumisha amani yetu, wagombea wa ccm baada ya kuona hawana uwezo wa kushinda utumia pesa zao za kampeni kuwahonga wakurugenzi na polisi ili wapite bila kupingwa kwa kuwanyima wananchi haki ya kuchagua viongozi wawatakao huu Ni uhuni,
 

Hivyo sasa wewe mwenye akili toa ushauri wafanye nini ilikufanikiwa? Au ulitaka wawachie nyani hao wasio na aibu shamba?
 
wengi wetu hatuji chochote zaidi ya ushabiki. Sheria iliyotumika kuwaekea pingamizi ni ya Tume yenyewe lakini Tume imetumia mamlaka badala ya sheria.
 
Hakuna kitu hapo mkuu
 
Kunakitu kikubwa kitatokea katika uchaguzi huu,kupitia tume unayojitamba ipo huru na kupitia wakurugenzi.
 


wewe kweli unaamini magufuli hakuweka picha? izi porojo zenu ndo znasababisha mpaka mgombea wenu anarushiwa mawe kwenye mikutano yake! na asipoangalia unaweza kua mwisho wa maisha yake sasa maaana watu wasiojulikana wana ham nae wananchi nao ndo wana ham ya kumshusha na mawe, angalieni na mambo mnayongea yasije kusababisha vita zisizo na akili, Tundu lissu ni kichaa ambae ni kilema, unaweza ona combination hio
 

watu kama nyie ndo aibu kwa taifa! ivi unajua mwenyekiti wenu ana mda gan kwenye icho kiti, unajua kwamba ametimua watu wakienda bungeni ambayo ni haki yao? unalijua ili? au mnaropoka tu
 
Wakurugenzi kwao uchaguzi imekuwa ni biashara kuchukua pesa za kampeni za wagombea wa ccm ili kuwapitisha bila kupingwa huu ni uhuni wa kuwanyima watu haki ya kuchagua wawakilishi. Na yote haya mwanzilishi wake anafahamika
 
Hapana,Lissu hakumaanisha hakuna picha kabisa! Alimaanisha picha iliyotumiwa haina vigezo vya kuitwa picha ya pasipoti size.
 
Wakurugenzi kwao uchaguzi imekuwa ni biashara kuchukua pesa za kampeni za wagombea wa ccm ili kuwapitisha bila kupingwa huu ni uhuni wa kuwanyima watu haki ya kuchagua wawakilishi. Na yote haya mwanzilishi wake anafahamika
Lissu amesema hatokubali kuona dhuluma ama sheria ikipindishwa ili mradi apitishwe mtu flani hapana.
 
Hapana,Lissu hakumaanisha hakuna picha kabisa! Alimaanisha picha iliyotumiwa haina vigezo vya kuitwa picha ya pasipoti size.


aisee ile video alikua anaelzea si tulimskia wote, saaahv amebadilisha tena! basi sawa
 
Sasa wewe huoni kama ndio jinga?

Unaposikia wasimamizi wa uchaguzi majimboni unapata picha gani?

Hao ndio NEC wenyewe,

Au kwa akili yako unafikiri nec ni ya majengo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…